kijanamdogo
JF-Expert Member
- Feb 25, 2018
- 231
- 177
NATAFUTA kazi kwenye mashirika yasiyo ya kiserikali .Elimu yangu Nina DIGRII ya Maendeleo ya Jamii
Nafasi za mtendaji mwisho kuwachukua ni diplomaUngejaribu kazi za mtendaji mkuu maana si ndo fani yenu na naona zinatangazwa kila siku na ni nyingi ila NGO pagumu maana wanachukuaga wale wa INTERN ko tafuta ukaanza piga INTERN wakikuelewa wanakupa kazi mazima.Kila la kheri mheshimiwa.
Ushauri mzuriUngejaribu kazi za mtendaji mkuu maana si ndo fani yenu na naona zinatangazwa kila siku na ni nyingi ila NGO pagumu maana wanachukuaga wale wa INTERN ko tafuta ukaanza piga INTERN wakikuelewa wanakupa kazi mazima.Kila la kheri mheshimiwa.
ExperienceNGO wanatangaza sana
Hats degree pia..Nafasi za mtendaji mwisho kuwachukua ni diploma
Hats degree pia..
Ward Executive II