Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,627
Kwa wale ambao wameishi Morogoro na Tanga Mjini watakuwa mashuhuda.
Miji haikui kabisa! Vibarabara vilevile na watu wana itikadi na life style ileile. Hawabadiriki kabisa.
Vichochoro vilevile! Viduka vilevile!
Tanga baiskeli ni balaaa! Shida iko wapi?
Miji haikui kabisa! Vibarabara vilevile na watu wana itikadi na life style ileile. Hawabadiriki kabisa.
Vichochoro vilevile! Viduka vilevile!
Tanga baiskeli ni balaaa! Shida iko wapi?