Recent content by jumayu

  1. jumayu

    JamiiForums Tanzania DAR: RC Makonda kuwapima wanaume Tezi Dume nyumba kwa nyumba

    Kweli wanaume wa dar wana kazi
  2. jumayu

    JamiiForums Tanzania Mbele ya Urusi, Marekani lazima ale kona!

    Karibu
  3. jumayu

    JamiiForums Tanzania Wizi mpya vituo vya mafuta

    Hiyo ndo ilitokea siku moja lkn alijikuta anakula visu 102 upande wa kushoto mwa kifua chake, na mahakamani nikashinda,, kwahiyo wakiona namba za gari hii wajalibu tu,, watajua Mrs Tanzania wa 1901
  4. jumayu

    JamiiForums Tanzania Ethiopia na Afrika Kusini kuunda kampuni ya kutengeneza ndege na vifaa vyake

    Ndomaana tunatafuta baba zao isije waia ngumu kwenye kuwalizisha technology kwa siku za usoni, baba walezi
  5. jumayu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watanzania tunaimba viwanda mdomoni, Kenya wanajenga viwanda

    Acha hizo Marlex
  6. jumayu

    JamiiForums Tanzania Huyu mkuu wa mkoa ameingia 18 zangu

    Msamehe kutoka moyoni kwa Yale aliokufanyia, huenda Allah alikuwa na sababu wewe kupewa hicho kipimo lkn timiza wajibu na weledi wa ofisi, na usikubari kupindisha sheria kwasbbu wataumia wengi baada ya Mwenye vigezo visivyositaili kuboronga, ebu fata kiapo chako kinasemaje
  7. jumayu

    JamiiForums Tanzania Je, Rais Magufuli anaweza kukaa na vyama pinzani meza moja?

    Tungeana tu na hili moja, kwanza awajengee ofisi ya chama kwanza, alafu mengine yafate
  8. jumayu

    JamiiForums Tanzania Dr. Cheni akanusha mfungwa Lulu kuonekana Uganda akila bata sikukuu ya Pasaka

    Jamani, mtulia eti kichaa, faruu ndugai anapikia gesi, na lulu tena eti kaonekana Uganda jamani, mbona wale walioenda kumuona mbowe walimkuta dada wa watu amejikalia tu segerea
  9. jumayu

    JamiiForums Tanzania Wanaume ushawahi kukutana na mwanamke aliyefungwa sehemu zake kichawi? Pita hapa uone niliyokutana nayo ujifunze

    babangu vibanio sio kweli ni hulka ya mtu tu
  10. jumayu

    JamiiForums Tanzania Askofu Mkude: Kama sisi sio sauti ya Mungu, basi anaye Mungu anayemwamini yeye ndio anaisikiliza

    Hata yeye aliochaguliwa ni sauti ya Mungu, ndiomaana imeandikwa eshimuni mamlaka aliyopewa
  11. jumayu

    JamiiForums Tanzania Uzi wa kumtakia Pasaka njema umpendaye

    Mm nawatakia pasaka njema, Mh raisi wetu mpendwa Kamanda sirro Paulo makonda Mohammed dewij Tulia akison Alexander mnyeti Tito mhando na wengine wenye ugeni huu wa pasaka
  12. jumayu

    JamiiForums Tanzania Huu ni uchochezi wa hali ya juu, Hili gazeti habari Maelezo Mnatawaka nini watanzania?

    Hilo nalo neno,, au wamedhulumiana kwasbbu alisngizia anafanyiwa upasuaji kumbe alikuwa anasubilia genji ya ndege, kimenuka pumbavu zao
  13. jumayu

    JamiiForums Tanzania Huu ni uchochezi wa hali ya juu, Hili gazeti habari Maelezo Mnatawaka nini watanzania?

    Hao watu ni shida nyingine na hiyo ndege pesa yake iliolipwa labda ana masilahi nayo,, kwahiyo na hapo ndo ujiulize kwamba kati ya lisu na serikali yetu ni nani Mwenye Nia mbaya na kodi zetu
  14. jumayu

    JamiiForums Tanzania Siri imefichuka kumbe kifesi amefukuzwa kazi wcb

    Kwani kimambi ana kazi gani kwenye chama cha.... Kwakuwa msemaji???
Back
Top Bottom