Recent content by jumasanga380

  1. J

    Kwanini nchi zilizochanja wananchi wake na kuchukua tahadhari zote ndio zinaendelea kuongoza kwa maambukizi na COVD-19

    Hii kitu kuna watu wameweka mitaji yao hapo wanataka kupata mpunga sio kama tunavofikilia sasa chanjo waliotengeneza watapeleka wapi lazima watumie akili
  2. J

    Wanyama ambao sio binadamu, waliingiaje katika adhabu ya kifo baada ya Eva/Hawa na Adam kutenda kosa la kula tunda?

    Yaani hata duniani sijui tulikuja kufanya nini yaani unazaliwa unakufa halafu uende kuishi milele sasa kwanini tusiende moja kwa moja mbinguni duniani tunakuja kufanya nini hasa?
  3. J

    Dada una miaka 28+ unatoa wapi ujasiri wa kuuliza namba yangu umepata wapi?

    Sasa kama ilikua unapiganae story ulishindwa vipi kumtongoza yaani hapo ilididi ufunguke mwenyewe angekupa namba bila hata kumuomba sijui ulikwama wapi sasa una 1% ya kukubaliwa
  4. J

    Hivi kwanini Wanawake wanampenda mtu lakini wanakuwa wagumu kwenye kutoa mbususu?

    Kuna mawili labda ni kweli au uongo mara nyingi demu akishakuona kweli unataka kumuoa wanakua wagumu kutoa mzigo yaani yupo tayari kumpa mtu mwingine lakini sio wewe
  5. J

    Jinsi nilivyoibiwa pesa kwa kuahidiwa utajiri

    Umenikumbusha mbali nilitapeliwa shiling elfu 5 zamani nikiwa na miaka kama 16-17
  6. J

    Maisha na mikasa ya safari yangu nchini DR Congo miaka ya 2000's hadi kutaka kupigwa risasi hadharani

    Upo sawa kabisa ni kweli wazambia wanapenda kuweka sukari kwenye wali.alafu hiyo si KASUBALESA ni KASUMBALESA tupo pamoja mkuu tunasukubiri
  7. J

    Kama uliwahi kula mishkaki ya mia mia, Morogoro basi uliwahi kula mbwa, jamaa wamekamatwa huko

    Mimi nataka kujua madhala ya kula mbwa tuanzie kwanza hapo?
  8. J

    Kwanini Wasabato na Wazungu hawaanguki mapepo?

    Hakuna anaeanguka kwa mapepo ni katika harakati za kutaka mkono uende kinywani sasa tajiri ataitaji mkwanja mrefu iyo ndo sababu kwanini matajiri hawaanguki mapepo
  9. J

    Je, nadharia hizi zina ukweli wowote kwenye dunia ya mapenzi?

    Mwanamke mwenye mchepuko1 ni hatari zaidi kuliko mwanaume mwenye michepuko 5
  10. J

    Wanaooa mademu wakali tena harakaharaka, mtakuja kujuta

    Siku zote usioe mwanamke mzuri ili uonekane unajua kuchagua utajuta hao wazuri wao wanaangalia tu upepo unatoka wapi unaenda wapi niwachache sana wenye mapenzi ya kweli
  11. J

    Mke wa kaka anataka tuendelee

    Sawa ila sasa usumgue vizuri lakini usijisahau ukipata tuu mtaji sepa ikizubaa kaka yako akajua utatamani dunia ikumeze
  12. J

    Mke wa kaka anataka tuendelee

    Ni kweli bora aendelee tu kula na awe na taimingi apate hata mtaji wake kisha asepe akifanya tofauti na hapo atafanyiwa visa na huyo shemeji yake mpaka atajuta kumjua
Back
Top Bottom