Hiyo sauti ndogoAsante Dokta[emoji23]
kwa msisitizo š š š š š š š šHiyo sauti ndogo
Inatakiwa kwa sauti kubwa kama hivi
AKHSANTE DOKTA
Konda akionaga comment yako anakosaga raha kabisaVile team konda msafi wanawahi kwenye huu uzi kuja kudai kuwa hii stori ni fake na imetolewa kwenye kitabu cha darasa la pili cha hadithi za watoto![emoji1][emoji1][emoji1]View attachment 1779732
Kivp mkuu! Nahisi wewe umeishi kwenye familia Bora ndyo maana unazungumza hvi[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] yaani mazingira ya kutapeliwa unayatengeneza wew.
Eti akili za sungura[emoji1787]
Kweli tulikuwana akili za SUNGURAUmenikumbusha mbali nilitapeliwa shiling elfu 5 zamani nikiwa na miaka kama 16-17
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]walipiga sh 100 na saa hawana huduma aiseeeNajikuta nacheka tu muda wote
@Mzimu wa Kolelo Kuna watu hawaamin hiki kitu hao jamaa wanakuga sijui na Nini yaan hata huwez kutapeliwa unawaza tu unachoenda kukipata[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Kweli tulikuwana akili za SUNGURA
sio yeye pekee mm walinitapeli enzi hizo bana pale MAGOMENI HOSPTARI mataa ndio ilikuwa kijiwe chao
Wamezungusha gazeti kama mnataka kukufungia sukari
Anaanza mbwembwe mara liwake moto mara mmoja ajifanye anadharau anaweka mkono kwenye gunia ananasa analia kwelikweli mpk DOKTA amsamehe usidharau tena hapa
Mwingine anatolewa nishai "wewe ushapata zawadi juzi ondoka nakukumbuka ondoka"
jamaa anaondoka kwa aibu Kisha linafatia onyo kali
"ndugu zangu ukipata zawadi siku 1 usirudie tena mm nitakukumbuka tu hata ukibadili nguo"
Mixer akakazia MIMI SITIBU UKIMWI ila natibu magonjwa yote kasoro ukimwi
Zawadi ofa unapata pesa utajiri demu/man yoyote anakukubali
Hayo sikuvutiwa nayo 7bu nilikuwa mdogo kula kulala sikuwa na mizuka nayo
Ila niliposikia KUWA NA AKILI NYINGI SHULENI wakagusa penyewe
Moja kwa moja mawazo yakaja shuleni kipindi hiko nipo msingi aisee
Naona TICHa amenishika mkono anatangaza assemble MZIMU WA KOLELO amekuwa mtoto wa kwanza makofi kwake
Dah hayo mawazo yaliponijia nikaweuka nikasema hii dawa si ya kukosa
Vilivyopita vikaratasi nami nikachukua kimoja
Akapita kuvikusanya nami nikatia changu changu
Muda wa kwenda kuchukua dawa na kusema hitaji lako mmoja
Akaanza "haya dogo una shi ngapi"
Nikatoa miambili nakumbuka ilikuwa shilingi 20 zilikuwa jumla 5 na shilimgi 50 mbili
Inaendelea .....Inaendelea sehem ya tatu
Wakuu labda niseme tu hapa silazimishi mtu kusoma Ila hiki ninachokisimulia hapa kilishawahi kunitokea!
Tuendelee bas muda ukafika saa sita mchana nikatudi Tena kuangalia Kama mzigo umeshajaa lakin nilikuta upo vilevile tu dah nikajisemea mmmh hapa nitakuwa nimekosea masharti ngoja niende kwa wenzangu tuliokuwa nao!
Bas nikaenda kwa jamaa mmoja jina makima nikamuuliza vipi Ile Mishe yetu ya kwa ASANTE DOKTA ameshaichek alipowka akasema hamna kitu chochote alichopata na akanipa stori kwamba siku hyo yeye alikuwa anaenda kununua mipunga kijijin hvyo alipoingia kwenye kile chumba Cha asante doktar walimwambia atoe kila kitu hvyo pesa zote ambazo alikuwa nazo aliacha mle nikamuuliza kwani ilikuwa shiling ngap akaniambia Ni lak 525000/ nikashika kichwa nikamshaur twende tukawaangalie maana hata mm walichukua pesa yangu ya sadaka Kia's Cha sh 100 pamoja na saa yangu na yeye akasema tukampitie na jumanne tuone na yeye yametoa majibu gan bas akanibeba kwenye baiskel Hadi kwa jumanne tulipofika tukamuuliza vp majibu ya asante doktar kwako! Naye alijibu hakuna chochote hvyo tukawa watu watatu tukakubaliana kwenda Hadi wapofikia kwenye Gest hyo! Yaan kwa ASANTE DOKTA
Bas Safari ikaanza tulichukua Kama dakika chache tu tukafika tukamuuliza yule mhudumu wa Gest ile vp dokta tumemkuta akasema dokta ameshaondoka kaenda kigoma kikaz Kuna watu walimwita, Bas tukiwa pale tunajuliuliza Cha kufanya wakaja wengne wanne na wao wanamuuliza doktar makima akawauliza Wana shida gan na doktar? Wakamwambia kwamba aliwapatia huduma lakin bado hawajaona matunda kimoyomoyo nikasema mmmh Hawa watukuwa wamepewa huduma Kama yetu
Bas tukaanza kuulizana Kias gan na vitu walivyochukuliwa wale watatu mmoja aliacha sh 5000/ mwingne 34200 na mwingne 10900/ bas tukashauriana tuchange nauli ili mmoja wetu amfuatilie kwani aliacha namba ya simu amfuate hukohuko kigoma..kumbka mm hii inshu nilifanya Siri hakuna yeyote anayefaham nyumbn bas wenzangu kwa kuwa walikuwa watu wazima walichanga na hatimaye pesa ilipatikana ya kwenda kigoma!
Baada ya pesa kupatikana mmoja wetu akatoa wazo kwanini asitumiwe hyo pesa yeye dokta ili aje kutuhudumia hukuhuku nyumbn hatimaye mwafaka ukapatikana kwamba atumiwe pesa kwa njia ya bus na kweli pesa zikaenda na baada ya siku kadhaa alikiri amepokea pesa hzo nakaahid atakuja watu tukakaa kusikilizia,
Baada ya siku Kama mbili hvi Zacharia akaja Tena nyumbn kufuatilia saa yake nikajisemea hapa bila kuwa msiri sitoboi nikamwambia rafiki yangu Jana wakati nachota maji saa yako ilidumbukia kisimani hvyo nitakununulia nyingne tu mda huo kimoyomoyo nikasema doktar atarud nakunifanya tajiri saa haiwez kunishinda!
Itaendelea.....
Hata ungekuwa wewe ungepigwa tu shukru mungu hizi elimu zinatolewa Sana Kama hivi kwenye jukwaa[emoji736][emoji736][emoji736][emoji736]Kweli machekbob wa zamani mlikua mazuzu
Enjoy Ila ni SoMo pia kumbka usije kukutana nao wakakupigaNajikuta nacheka tu muda wote
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Tena anakukomalia kabsa toa sauti[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Asante Dokta
Da nimecheka sanaKweli tulikuwana akili za SUNGURA
sio yeye pekee mm walinitapeli enzi hizo bana pale MAGOMENI HOSPTARI mataa ndio ilikuwa kijiwe chao
Wamezungusha gazeti kama mnataka kukufungia sukari
Anaanza mbwembwe mara liwake moto mara mmoja ajifanye anadharau anaweka mkono kwenye gunia ananasa analia kwelikweli mpk DOKTA amsamehe usidharau tena hapa
Mwingine anatolewa nishai "wewe ushapata zawadi juzi ondoka nakukumbuka ondoka"
jamaa anaondoka kwa aibu Kisha linafatia onyo kali
"ndugu zangu ukipata zawadi siku 1 usirudie tena mm nitakukumbuka tu hata ukibadili nguo"
Mixer akakazia MIMI SITIBU UKIMWI ila natibu magonjwa yote kasoro ukimwi
Zawadi ofa unapata pesa utajiri demu/man yoyote anakukubali
Hayo sikuvutiwa nayo 7bu nilikuwa mdogo kula kulala sikuwa na mizuka nayo
Ila niliposikia KUWA NA AKILI NYINGI SHULENI wakagusa penyewe
Moja kwa moja mawazo yakaja shuleni kipindi hiko nipo msingi aisee
Naona TICHa amenishika mkono anatangaza assemble MZIMU WA KOLELO amekuwa mtoto wa kwanza makofi kwake
Dah hayo mawazo yaliponijia nikaweuka nikasema hii dawa si ya kukosa
Vilivyopita vikaratasi nami nikachukua kimoja
Akapita kuvikusanya nami nikatia changu changu
Muda wa kwenda kuchukua dawa na kusema hitaji lako mmoja
Akaanza "haya dogo una shi ngapi"
Nikatoa miambili nakumbuka ilikuwa shilingi 20 zilikuwa jumla 5 na shilimgi 50 mbili
Akasema weka kwenye chungu
Akanishika kichwa akapiga yowe kubwa ma USINGA kunizungushia kichwani
"WE LIAMBALI YA MBALI YA MFIPAA"
Kisha akanipa dawa kaifunga kwenye karatasi kwa mtindo wa kufunga kama bidhari