Dada una miaka 28+ unatoa wapi ujasiri wa kuuliza namba yangu umepata wapi?

Hata kama nina miaka 60, nikipigiwa na stranger nitakuuliza umetoa wapi namba. hii ni curiosity kikawaida namba natakiwa nikupe mwnyw. ss vuuup sijakupa unipigie athubutuu wewe
 
Huyu jamaa atakuwa domo zege. Mtu unapiga naye stori kila mara! Unakuja kuomba namba kwa rafiki yake? Na lengo la kuomba namba ni kutongoza? Umetuabisha sana sisi mabaharia.
Halafu analaumu umri wa huyo dada kwa ujinga wake dunia ya Leo mtu humfahamu unamtafta hujitambulishi huo ni uzembe tu, hata mtu akiwa na 70 year's lazima ahoji
 
Sasa kama ilikua unapiganae story ulishindwa vipi kumtongoza yaani hapo ilididi ufunguke mwenyewe angekupa namba bila hata kumuomba sijui ulikwama wapi sasa una 1% ya kukubaliwa
 
hata kama nna miaka 60, nikipigiwa na stranger ntakuuliza umetoa wap namba. hii ni curiosity kikawaida namba natakiwa nikupe mwnyw. ss vuuup sijakupa unipigie athubutuu wewe

Hujanipa ndio ila sasa nimeshakuambia nimepewa na mtu ila kumtaja naogopa utamwandama. Ni suala la kusema haya tuendelee usikie nini hitaji langu.
 
Ndio hata Mimi ningekukomalia maana sijui Lengo lako kwanini usiseme aisee nimeipata number yako na shida ya a, b, c, d hapo nakuelewa kuliko ku ficha ficha Mambo

Daaah bado unataka niseme nani kanipa…! Naogopa kuwagombanisha na rafiki yako. Cariha Usinishambulie hivyo
 
Dah, udomo zege shida sana yani unaongea na demu masaa 6 unashindwa kumuomba namba halafu eti unaenda kumuomba rafiki yake?. Watu kama nyinyi ndio Mnabaka mbuzi genye zikiwazidi.
 
Sio kawaida mtu usiyemfahamu awe na namba yako lazima uulize ameipata wapi? Hata kama ana miaka 40+,na yupo single.Tabia ya kugawa namba za watu bila ruhusa ya muhusika ni mbaya.Je kama wewe ni stalker je?Huyo alokupa namba amefanya makosa!

Kitu kingine yaani wewe umekosa ujasiri hata wa kuomba namba mpaka upewe na mtu mwengine!Tatizo ni nini?
Namshangaaa afu anakuja kujitapa kwenye jukwaa kwani ukiwa na miaka 28 ndo uwe kama jalala,na suala la miaka linakuhusu nini maana hapa mjini kila mtu anamipango yake.
 
Back
Top Bottom