Recent content by Jumanne Mayala

  1. J

    JamiiForums Tanzania Okwi, Kaseja Si kitu, Ngassa aipa balaa Yanga

    Mtoa maada maelezo yako ni mazuri ila mm sjui ntakuwa nimektelewa tofauti, ilatu inabidi nikuurize swali. je kuringana na maelezo yako kuhusu ngassa. unaimani kwamba akienderea kubaki yanga hawatachukua tena ubingwaa? au akitoka yanga na ubingwa utalejea jangwani?
  2. J

    JamiiForums Tanzania Liverpool kufanya maajabu ya mwaka

    Ubingwa usahau labda uanzishe maada nyingine tafadhari.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Chelsea anaweza kuwa bingwa

    Hata kama itachemka itakuwa ya2 au vp?
  4. J

    JamiiForums Tanzania Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

    Amani sana matale hii ndo brudani sio matus pole sana endele kuziomba zile 3za kuto ka tff labda ztawasaidia!
  5. J

    JamiiForums Tanzania Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

    Ukiona hadi makoye matale anaipa hongera azam ujue kazi imekwisha maana namjua yeye ni yanga damdam hadi jina lake ukiritamka yani kiyanga yanga. msimtanie kupitia huu ujumbe maana anamaumivu huyu ni mtani wangu mm.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

    Mcc hawatafanya lolote maana hata kaka zao walishachemka tatizo wanakula sana bidhaa kutoka kwetu azam wangekuwa wanatumia azania. wana AZAM wote mikonojuuuuuuu uuuuu uuuuuuuu! ukitoa tusi haimaanishi kuacha kombe ninamnatu ya ushangiriaji kwa azam.
  7. J

    JamiiForums Tanzania Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

    Wote mrio changia maoni yenu mmetumia busara saana tena tukienda na mfumo huu nawengine wataiga. Ila sio kama wale wanao changia matusi, huu ni ukrasa wa burudani sio matus langu ni hilotu.
  8. J

    JamiiForums Tanzania Swali:Unamwachia mkeo 1,000 unakuta kapika wali na nyama

    Mchele 1kg 1200 Nyama robo 1000 Jumla ni 2200 Toa 1000 Unapata 1200 Hii kaipata wapi? Viungo yawezekana virikuwepo kama kakopa kwa jirani aseme mapema ili aman irejee.
  9. J

    JamiiForums Tanzania Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

    Pamoja na hayo ila ubingwa ni hakiyetu mkuu wala usiwe na bp wenye bp ni akina makoye matale
  10. J

    JamiiForums Tanzania Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

    Matale ukowapi team yako inafanya vizuri halafu we unakuwa nyuma ipe support yanga ili kuifariji japo ubingwa itaukabidhi leo mikoni mwa
  11. J

    JamiiForums Tanzania Makipa Wa Yanga FC

    Hilo liskuumize kichwa mkuu yawezekana hao sio mafans wa yanga ila walivaa uzi wa yanga na kitendo cha 5-1 kikawauma wakaanza timbwili hilo.
  12. J

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi logo ya klabu ya Yanga

    Nashindwa kuelewa nini maana ya kuweka maada mezani maana mi najua m2 anapoweka maada lengo lake jamii ielewe kuhusu ki2frani/kuelimishana. Cha ajabu sasa na kinachonishangaza zaidi wanajamii wenzangu, Tunaponza kujibu Wengine wanajibu matusi Wengine majibu yao haya husiani na maada...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

    Umeonae makoye matale leo sjui alikuwa anaumwa maana simuoni maana Azam alikuwa anafikiri Azania pole sana makoye.
  14. J

    JamiiForums Tanzania Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

    100 kwa 100 ila uc2tie moyo maana nakujua we wa simba au nawe umeungana na wale mashabiki wa kweri walioihama simba?
  15. J

    JamiiForums Tanzania Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

    Safi kabisa umeonae haya ndo mambo ya azam. Wapi leo makoye matale?
Back
Top Bottom