Liverpool kufanya maajabu ya mwaka

Liverpool kufanya maajabu ya mwaka

article-0-001F6CC400000258-325_634x365.jpg
 
Hii post yako ya December, sasa hivi April liverpool anaongoza. Kweli ulikuwa mweupe kwenye utabiri
 
Acha kuongea ki statistics wakati Arsenal ndo bingwavmwaka huu. Hiyo ni history tu. mambo uwanjani

Hahahaha! Asenane bana mnachekesha mkuu kwani hujaizoega timu yako? Kazi ya Asenane ni kushikilia nafasi za wanaume kwa muda, baadae hupisha nakuachia wanaume nafasi zao, naona asaiv mnachuana na everton kugombea nafasi ya nne ila nakupa pole Everton wanahasira hao jiandae tu kuwapisha ukagombee nafasi ya 7 na Manure...!!
 
ila kweli!
 
Hii thread ilianzishwa na kipofu nsona hakujua analoongea mahaba yalimjaa..
 
Back
Top Bottom