kutokana na uwanja kujaa maji mechi ya azam na ruvu shooting imehairishwa mpaka kesho..
goooo
dk 6
Yanga 1-0 Kagera
kutokana na uwanja kujaa maji mechi ya azam na ruvu shooting imehairishwa mpaka kesho..
cheki uwanja mkuu ulivo na maji..hii sio fair kabisa ukizingatia ligi kwa sasa inaelekea ukingoni
advantage kwa AZAM FC, kujipanga baada ya matokeo ya Yanga na Kagera leo U/taifa!