Ufafanuzi logo ya klabu ya Yanga

Ufafanuzi logo ya klabu ya Yanga

Malinzi, wala usijibu upuuzi huu. Anze kuwauliza akina Kaburu kama wamerudisha kadi zao za Simba ili wafanye kazi TFF. Nani asiyejua kuwa viongozi wa TFF wana timu zao hasa Yanga na Simba. Issue ni kufanya kazi kwa manufaa ya nchi/TFF na wala isiwe kwa maslahi ya timu fulani.

Mawaziri wote au karibu wote wana kadi za CCM na kazi za serikali zinaendelea.

Ubarikiwe kwa jibu lako la kipuuzi maana sijakuhuliza wewe!!
 
Timu miaka 75 haina kiwanja? Bora nihamie ligi kuu ya msumbiji
 
Nashindwa kuelewa nini maana ya kuweka maada mezani maana mi najua m2 anapoweka maada lengo lake jamii ielewe kuhusu ki2frani/kuelimishana.

Cha ajabu sasa na kinachonishangaza zaidi wanajamii wenzangu,
Tunaponza kujibu Wengine wanajibu matusi
Wengine majibu yao haya husiani na maada,
Sasa hii binafsi inanikera sjui wanajamii wenzangu mnasemaje kuhusu hilo?
 
Akina mzee akilimali waliweka hawajui hata maanake..
 
Back
Top Bottom