Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

TIMU GANI ITAKUWA BINGWA WA LIGI KUU TANZANIA BARA(Vodacom Premier League)

  • Total voters
    72
  • Poll closed .
Kumbukeni Yanga ina Match ya Mezani ...Ile match kiporo ya Yanga na JKT Mgambo rufaa bado
Wakishinda mechi yao ya.mezan watafikisha point 55cos mechi ya mwisho wanakutana na mnyama hilo nalo ni la kuzingatia alafu mabingwa wapya wanakuta na jkt ruvu nazan unajua kitakachotokea,ok tufanya mmemfunga mnyama na leo jumla mtakuwa mmefikisha point 61 na mabingwa wapya wakishinda game ya mwisho watafikisha point 62 who is champ!
 
Kumbukeni Yanga ina Match ya Mezani ...Ile match kiporo ya Yanga na JKT Mgambo rufaa bado
Haitasaidia...

Nitaishangaa sana timu yangu ya Yanga kama itang'ang'ani hii rufaa ya huyu mchezaji anayeitwa Mohamed Neto...

Mbona mechi ya kwanza na Mgambo tuliwafunga na huyu mchezaji alicheza lakini Yanga hatukuibua tuhuma hizi?...

Wakati mwingine tukubali tu kushindwa wakuu...Kama Tukuyu Stars, Coastal Union na Mtibwa waliweza kuchukua Ubingwa wa Tanzania Bara, why not Azam FC?...

Yanga tumeshindwa ubingwa kwa uzembe wetu wenyewe...

Hongera sana Azam..
 
uko sahihi kaka manake ile goli inaonyesha kuwa refarii amekula mpunga wa bahressa
Labda mpunga wa manji wameuzoea hahahaa kk mkubali tu yaishe Azam anastahil kuwa bingwa mwaka huu,ondoa mawazo mgando Yanga anashinda saba,mara 5 hilo la mpunga amlioni!
 
hongereni Mlungula FC nyie si wakwanza. alikuja Mtibwa akabeba ubingwa mara mbili, sasa yuko dhoofu bin hali. alikuja Moro United pia, sasa sijui yuko wapi

Mlungula ni kandambili bhana!wenzenu wanafurahia kiwanja cha kisasa ninyi mnashangilia manji kuwa mwenyekiti,kisa?anajua biashara ya kununua mechi sana!Timu mnazozidharau na kubania hivyo visenti zinawapiga goli!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Haitasaidia...

Nitaishangaa sana timu yangu ya Yanga kama itang'ang'ani hii rufaa ya huyu mchezaji anayeitwa Mohamed Neto...

Mbona mechi ya kwanza na Mgambo tuliwafunga na huyu mchezaji alicheza lakini Yanga hatukuibua tuhuma hizi?...

Wakati mwingine tukubali tu kushindwa wakuu...Kama Tukuyu Stars, Coastal Union na Mtibwa waliweza kuchukua Ubingwa wa Tanzania Bara, why not Azam FC?...

Yanga tumeshindwa ubingwa kwa uzembe wetu wenyewe...

Hongera sana Azam..

asante sana..
 
Ahsante kwa maninja wote wa azam fc,kitoabu,ndetichia na woteeee! Bado jkt ruvu hatuachii kitu wote wanatafunwa.
 
Haitasaidia...

Nitaishangaa sana timu yangu ya Yanga kama itang'ang'ani hii rufaa ya huyu mchezaji anayeitwa Mohamed Neto...

Mbona mechi ya kwanza na Mgambo tuliwafunga na huyu mchezaji alicheza lakini Yanga hatukuibua tuhuma hizi?...

Wakati mwingine tukubali tu kushindwa wakuu...Kama Tukuyu Stars, Coastal Union na Mtibwa waliweza kuchukua Ubingwa wa Tanzania Bara, why not Azam FC?...

Yanga tumeshindwa ubingwa kwa uzembe wetu wenyewe...

Hongera sana Azam..

Supported. Hongera Azam FC.
 
Ukiona hadi makoye matale anaipa hongera azam ujue kazi imekwisha maana namjua yeye ni yanga damdam hadi jina lake ukiritamka yani kiyanga yanga. msimtanie kupitia huu ujumbe maana anamaumivu huyu ni mtani wangu mm.
 
Mkuu sina maumivu hata kidogo, ingekuwa Simba amechukua hakika nisingelala. Sisi tumeshinda, wao wamefungwa, roho kwatu. Azam wakaze uzi klabu bingwa mwakani.
 
Azam oyeeee!!!

Sasa nitakuwa mshabiki wa Azam. Pia natafuta kadi ili niwe mwanachama wa timu hii inayoendeshwa kisayansi.

Wazee wa fitna na ushirikina mpoooo? Yanga na Simba.
 
Mkuu sina maumivu hata kidogo, ingekuwa Simba amechukua hakika nisingelala. Sisi tumeshinda, wao wamefungwa, roho kwatu. Azam wakaze uzi klabu bingwa mwakani.

Amani sana matale hii ndo brudani sio matus
pole sana endele kuziomba zile 3za kuto ka tff labda ztawasaidia!
 
Back
Top Bottom