Mkuu nimechanganyikiwa kipigo cha tanga mcc1-,0
Pole kaka
Timu ya Yanga imefungwa goli 2 kwa 1 na timu inayoshuka daraja JKT Mgambo wakati Azam ikiifunga Simba 2 kwa 1.
Timu ya Yanga imefungwa goli 2 kwa 1 na timu inayoshuka daraja JKT Mgambo wakati Azam ikiifunga Simba 2 kwa 1.
Mpira umekwisha sasa wacha niselebuke na lumba la mcc na nyimbo za kisafwa apa nje ya sokoine,
mbeya raha bwana
Nyambafu ungeandika kiswahili tu
Uwanja wa Taifa kwa mara ya kwanza ktk historia ya soka la Bongo mashabiki wa Yanga leo walikuwa wanaishabikia Simba.