Theodore Bagwell
JF-Expert Member
- Jan 13, 2014
- 940
- 226
Teh teh teh teh naona kathread mumekakimbiaChelsea fans tupo pa1 tutatwaa

Teh teh teh teh naona kathread mumekakimbia
ni mtazamo wng wadau. kwa mwendo wa epl ninavyouona chelsea endapo itafanikiwa kumfunga sunderland cku ya jumamosi basi uwezekano utakuwa mkubwa sn kutwaa kombe. kuwafunga liver anfied c zani km itashindikana kwani beki ya liver inaruhusu goli nyingi sn pia SAS wamekuwa hawafurukuti sn katika big match. mechi ya sunderland itakuwa muhimu sn kwa chelsea kushinda iliweze kutwaa kombe. hyo mechi ya liver itakuwa km fainali
Chelsea mpk wanatia huruma mana wanahangaika hao, dua la kuku halimpati mwewe ni zamu ya Liverpool kushine kubalini tu kama tuko juu msimu huu