Ningependa kujua baada ya Dr. Dau (MM) . Wakurugenzi wengine wote ni dini gani? Je waislam ni wangapi kwenye Hilo kundi? Pia mifuko mingine nako tujiulize swali Kama hilo.
Ndugu umesema sahihi kabisa. Mimi na wadanyakazi wenzangu mwezi wa 10 tumelipwa mafao ndani ya siku 10 bila kuchelewesha. Maana kampuni Yetu ilikufa. Kwanini watu wanapenda sana kusema uongo? Una faida gani?
Chief-Mkwawa nimewahi kutumia 3G,3GS,4,4s,5 na 5s baada ya hapo nikahamia android HTC M8 najiona nimekosa vitu fulani hivi ndo najikongoja nirudi apple tena.
Upuuzi mtupu Nyerere alimtaka Mwinyi? Mwinyi alimtaka Mkapa? Mkapa alimtaka Kikwete? Kikwete alimtaka JPM? Uvivu wa kufikiri tu hii ni nchi sio nyumba ya mtu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.