Simiyu Yetu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 18,949
- 4,645
- Thread starter
- #21
Mkuu nimefika arusha nimeshangaa sana siwaoni watu wanaompenda Lowasa kweli pesa ndiyo zilikuwa zinavuta watu naona zimekwisha sasa.Watu wengi wamemkibia Lowasa kwakuwa alikuwa ana wapata kwa pesa hata mimi nimeshangaa kuona pale kwake katembelewa na watu watano wakati alikuwa akioneshwa kutembelewa na mamia lakini mara hii wamepungua...Ni wazi hatoi pesa tena zote alichukua Mbowe...