Kuhusiana na makonda juuu ya vyeti feki ni hoja isiyo na mashiko ...KWA MTU uliyesoma huwezi kupoteza mda kulizungumzia ilo nyie mmemuona makonda tu ila jua ni weng wenye vyeti ambavyo sio vyao wengi snaaa KWA io kuhusu wala sio kitu mim naona ni sawa na wadada vyuoni ambao wanatoa rushwa ya...
Wanajamii habari zenu naomba kma kuna anayemfahamu vilivyo huyu bondia Mohammad Ali KWA nin alibadilisha dini ni kitu GANI kilichomsababisha kutoka kwenye jina lake alilopewa na wazazi wake(Cassius Marcellus) adi kuitwa Mohammad Ali...kulikoni...tofauti na hawa wengne kama Tyson ni muhuni sio...
Habari wana jamiii
Naombeni msaada maana hili tatizo nililonalo limekuwa sugu sasa.
Ni kwamba uume wangu umekuwa ukisimama pindi nipo usingizini ila nikishtuka hiyo hali inapotea ghafla. Nikiwa usingizini najijua kuwa nimesimamisha hadi kulala huwa napata tabu. Huwa nashindwa hata kujigeuza...
Acha kupoteza muda wako serikali sio lengo lao kumkamata MTU wana lengo lao lingne na sio hili tufikilialo mim na wew lahasha...kma ingekua ivo wahusika wanafahamika wote MBNA ..hawakamati..KWA io sio kweri.,.
Hui ni ulinganishi hafifu wazungu kweri nasema wana akili snaa sababu wao mambo mengi wameshayafanya KWA io hawawazi kula .kuzaa .kuendesha magari wala kuvaa KWA io hawana msongo WA maisha kma nliokua NAyO mim abdallah mambo meng cjafanya ,,,!!!! Unafkil ntakua na Akil zaid ya kuwaza...
Naitwa abdallah Mpenda natafuta kaz idara ya manunuz na utunzaj na usambazaj nna GPA ya 4.38 kutoka chuo cha cbe KWA ngaz ya diploma .naomben mnsaidie wadau
Nyie wanawake ni washenzi snaaa mnakela snaa mnauz pia mkikaziwa ndo mnajifanya mwanaume hasusi ila kususa kupo weZ mlazimisha MTU afanye vile mnataka kma MTU hajataka ....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.