juma mpenda
Member
- Dec 19, 2016
- 15
- 2
Habari wana jamiii
Naombeni msaada maana hili tatizo nililonalo limekuwa sugu sasa.
Ni kwamba uume wangu umekuwa ukisimama pindi nipo usingizini ila nikishtuka hiyo hali inapotea ghafla. Nikiwa usingizini najijua kuwa nimesimamisha hadi kulala huwa napata tabu. Huwa nashindwa hata kujigeuza maana kitu kinakuwa kimedinda ile mbaya.
Jamani naombeni ushauri. Hii hali nimedumu nayo huu ni mwaka wa 17 sasa.