juma mpenda
Member
- Dec 19, 2016
- 15
- 2
Naitwa abdallah Mpenda natafuta kaz idara ya manunuz na utunzaj na usambazaj nna GPA ya 4.38 kutoka chuo cha cbe KWA ngaz ya diploma .naomben mnsaidie wadau
Duh mkuu una ugomvi nae?Kastama kea ndo nn choko ww
Kastama keaKWA kweri nimefanya kazi tofauti totauti nyng ndugu APA TIGO mtwara nimekua kastama kea muda WA miezi sita kisha nikawa area supervisor
JiajiriNaitwa abdallah Mpenda natafuta kaz idara ya manunuz na utunzaj na usambazaj nna GPA ya 4.38 kutoka chuo cha cbe KWA ngaz ya diploma .naomben mnsaidie wadau
Mkuu naomba unieleweshe vipi nitafanya mitihani ya bodi na procedure zakeNafasi zipo Ila,, akikisha una level YA professional at least level 5,, na unatambulika na PSPTB
Mimi ninazo hzo sifa na nina degree ya manunuzi na nipo registered psptbNafasi zipo Ila,, akikisha una level YA professional at least level 5,, na unatambulika na PSPTB
ha ha ha alibakiza point 0.4 tu kuwafikie best students wa udsm katika mahafali ya 47 mwaka huuDuh kuna vyuo vinagawa GPA kama njugu,GPA ya 4.38.....
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app