juma mpenda
Member
- Dec 19, 2016
- 15
- 2
Wanajamii habari zenu naomba kma kuna anayemfahamu vilivyo huyu bondia Mohammad Ali KWA nin alibadilisha dini ni kitu GANI kilichomsababisha kutoka kwenye jina lake alilopewa na wazazi wake(Cassius Marcellus) adi kuitwa Mohammad Ali...kulikoni...tofauti na hawa wengne kama Tyson ni muhuni sio ukweri kma yeye ni muislam Bali alifanya vile kuwauzi wazungu...na sio kingne je huyu Mohammad Ali..ni nin hasa ????