Recent content by juma hussein juma

  1. juma hussein juma

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU kuwakamata na kuwachukulia hatua watu wote watakaojihusisha na vitendo vya rushwa kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Msi mubali kudangaywa kwa kupewa hongo ili kumchagua kiongozi fulani.hakikisha unamchagua kiongozi bora mwenye sifa na mwenye uchungu na nchi yake .na mwenye kutaka maendeleo ya nchi yetu na watanzani wote bila kubagua wa kujali kabila fulani wa dini.usi mchaguwe kiongozi mwenye kupenda kula...
  2. juma hussein juma

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Pole husika niile apewayo Mtu alie fiwa. Au kapata ajali Sent using Jamii Forums mobile app
  3. juma hussein juma

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa JK aula Etihad Airways

    Awemakini.kwenye Kazimierz yake Sent from my SAMSUNG-SGH-I257 using JamiiForums mobile app
  4. juma hussein juma

    JamiiForums Tanzania Wenyeviti wa serikali za mitaa nchini wametoa masaa 24 kwa katibu mkuu wa TAMISEMI kuwaomba radhi

    Haya nimambo makubwa na gum sana.tena ilikua nijambo baya sana kuwafanyisha kazi watu nabilayakupewa mshahara.
  5. juma hussein juma

    JamiiForums Tanzania Neno X-mass limenichanganya

    Mazingira yanapo kuwa bora. Ya ufugaji kamwe huwezi shindwa kumla bata ambae ulimfuga kwa maandalizi bora kwakujua yakwamba nitegemeo lako kumla baadae
  6. juma hussein juma

    JamiiForums Tanzania Mambo madogo madogo 30 yavunjayo ndoa

    Kweli ubabe na majibu mabovu na uchafu na ubaguzi wa familia kwa baadhi ya wake zetu guwabagua mama zetu. Nimajambo makubwa sana yanayo tuudhi wanaume tuliyo wengi kabisa.
  7. juma hussein juma

    JamiiForums Tanzania Mwenye kujua anijuze tafadhali

    Weeeeee. Heeeee haya minapita tuuuu
  8. juma hussein juma

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Magufuli utakuwa mbaya sana, ashauriwe haraka

    Haswaaa mpeeeee makavu hana jipya amuwache raisi wetu
  9. juma hussein juma

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Kwa mara ya kwanza Serikali itakusanya takribani trilioni 1.3 kwa mwezi

    Safi sana kwa kweli mungu akipenda tutafika katika makusudio ulo jiwekea kwa maendeleo Ya nchi na watanzania kwaujumla mweshimiwa rais hadi saaa hii tangu ashike madaraka anaendesha nchi vizuri sana namuobea mungu amuwezeshe kukamilisha ahadi zetu alizo ahidi. amin
  10. juma hussein juma

    JamiiForums Tanzania Devis Mosha usicheze rafu hii ni Moshi

    Ohoooo
  11. juma hussein juma

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Musa: Miaka 51 ya Kenya, Miaka 54 ya Tanzania

    Umeone kana. Upo. Makini
  12. juma hussein juma

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    voda com wapo vizuri .siwatetei .ila huduma zao ninzuri.japokuwa upo wizi mdogo.ilaukiwafuata.kimakini hautaibiwa.mimi nipo voda com.sasa yapata miyaka kumi natano.bado sijaibiwa kwakiwango hicho.ilapale panapo kuwa.nashida zamawasiliano.kimtandao ndipo saliyo huenda kombo.tofauti...
  13. juma hussein juma

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo sifa za mwanaume rijali, soma ili ujue upo kundi gani

    minapitatuuuuuu.ila mdada yupo sahihi ukizingatia alivyo jielezeea .na jirani pia kajitahidi kubainisha. ispokuwa miyaka nayo humdhoo fesha mtu mzima. wengi wao wameathirika kwangiri kwao nitatizo kubwa.kuna aina ya vyakula ukivila unakuwa mkali sana kwatendohilo. na kunabaadhi ya kinadada wao...
  14. juma hussein juma

    JamiiForums Tanzania Malawi floods kill 176 people and at least 200,000 displaced!

    Poleni sana ndugu zetu wamalawi.kwamsiba Huo mkubwa.ulowakumba
Back
Top Bottom