Mwenye kujua anijuze tafadhali

JOMI

Senior Member
Oct 9, 2012
144
118
Wadau poleni na majukumu na uchovu wa xmass mwenye kujua ghalama za vipimo vya DNA na taratibu zake anisaidie kujua maana nahisi nimechakachuliwa naitaka nijue kama nalea watoto wangu au wa jirani maana haya maneno ya mkemia mkuu yamenifanya nifunguke kutaka kujua
 
Me nipo kwenye foleni sahv yale maneno yalininyima amani kabisa njoo tujumuike ndugu
 
Wewe lea tu, wawe wa kwako au la! Mtoto ukimpa malezi bora atakuthamini tu hata akijua wewe si baba yake mzazi! Unaweza kulea damu yako na ikaja kukuua au haya hujawahi kushuhudia? Tafadhali lea bila kinyongo amini mtoto hana hatia!
 
Ni kweli mtoto hana hatia ndio maana nataka nijue ili mwenye hatia kama yupo apate stahiki yake
 
Mimi nimeacha mke wakuu. Mtoto wa kwanza nna hakika ni wangu ila wa pili huyu mmh, halaf nkaja nkagundua kua bibie anachepuka, ukizingatia nlimuamini sana ilibidi tu kupiga chini. Sasa hv mm hatakwa fimbo huniaminishi kitu kuhusu wanawake, sijui kupenda na sina mapenz kwa mwanamke except haka kabint kangu first born
 
Wadau poleni na majukumu na uchovu wa xmass mwenye kujua ghalama za vipimo vya DNA na taratibu zake anisaidie kujua maana nahisi nimechakachuliwa naitaka nijue kama nalea watoto wangu au wa jirani maana haya maneno ya mkemia mkuu yamenifanya nifunguke kutaka kujua

Mimi sikuambii gharama zake maana mwaka juzi nilimsindikiza jamaa yangu kupeleka vipimo vya DNA aisee alipopata majibu na kurudi nyumbani kwake mambo aliyowafanyia watoto baada ya kujua kuwa ni feki si wa kwake pamoja na mkewe inasikitisha sana,najua na wewe ukirudi nyumbani huwezi kuwa normal lazima tu utafanya tukio,wanawake hawa tunao oa tumwombe sana Mungu jamani.
 
We lea mtoto kitanda hakizai halamu,hayo ni makusud unaweza kataaa mtoto kume ndo jiniazi kwa badae akasidia mpaka wtt wko wa damu kabisa mda mwngne unachanganya bongo,fanya risearch uone weng majiniazi unakuta wpo nje ya nchi waga ni wamichepuko toka nje ya ndoa mzee,hapa nilipo mi nimefanya risearch kati ya ndoa kumi nane michepuko na unakuta yapo nje urusa,marekani,......so unachotakiwa ni heshima tu mzeee haya mengne achana nayo, mke kufanya hivyo kuna chanzo jamani tufike sehemu tujue hakuna kitu kinafanyika hp chin ya hua bila chanzo,jiulize ww unataka kuchepuka kw nini unataka kuchepuka?inaman hapo wfe/mme kakuzingua kitu au umeumizwa na kitu so no act wthout source mjomba
 
Kila test kivip tena mkuu kwani kuna test zaidi ya moja?

Kila sample ni 100,000 Yani ukienda kupima wewe na mtoto mnachukuliwa mate mdomoni kwahiyo hizo ni sample mbili ambayo 200,000 jumla

Utaratibu tafuta mwanasheria yeye Ndio atamwandikia barua Mkemia mkuu. Mtu binafsi huwezi kuomba kupima DNA.
 
Asante mkuu yaani kesho asubuhi sana nitakua kwenye foleni maana huyu mtoto wangu wa kwanza naambiwa wangu lakini hata element za ukoo wangu hakuna kabisa na anafanana na jirani yangu sana
 
Back
Top Bottom