Mambo madogo madogo 30 yavunjayo ndoa

Mambo madogo madogo 30 yavunjayo ndoa

Sema yanayovunja mahusiano ya wavulana na wasichana wanaoigiza maisha,lakini sio kwa wanaume na wanawake wanaoishi maisha,hivyo ulivyoandika ni vitu vidogo sana,vinaongeleka,hivi huwezi mwambia mpenzi wako afunge mlango kama choo ni self room au unataka great thinkers tujidhalilishe kuchangia hapa,this is among the daftness thread in 2015
 
Umalaya wa wanawake ohooo ni hauvumiliki,ni bora umpige mume lakini si umalaya.
 
Mambo madogo yavunjayo ndoa.
1. Ulevi
2. Umbea
3. Pedi chafu kutupa uvunguni
4. Umaskini
5. Uvivu
6. Ulafi
7. Wizi
8. Kujamba mbele ya mpenzi wako
9. Kunya bila kufunga mlango (self room)
10. Ubahili
11. Kunuka pumb....(boxer)
12. Kunuka kwapa
13. Kuacha manywele kwenye chanuo la mme
14. Ubishi
15. Uongo
16. Uzurulaji
17. Upagani
18. Cm chating
19. Uvaaji wa kihuni
20. Ushabiki wa mpira ulopitiliza
21. Kukaakaa uchi pasipo sababu
22. Kutokujali
23. Pafyumu mbaya
24. Msomgamano wa watu kuriko ukubwa wa nyumba.
25. Gubu
26. Ushamba ulopitiliza
27. Majibu ya mkato
28. Ubize usio na maana
29. Umaarufu wa kijinga
30. Kusifia watu wengine
Hizo tabia zinavunja sana ndoa kimzahamzaha

Hiyo namba 8 Si kweli kabisa acha kupotosha watu.
 
Hahaha hadi no.13 na no. 26?
Hakuna kitu kinachowakera wanaume kwenye ndoa kama UBABE,MAJIBU MABOVU NA UCHAFU wa mwanamke. Mengine ni madogo sana.
 
Kweli ubabe na majibu mabovu na uchafu na ubaguzi wa familia kwa baadhi ya wake zetu guwabagua mama zetu. Nimajambo makubwa sana yanayo tuudhi wanaume tuliyo wengi kabisa.
 
Hata uongo si jambo dogo hata kidogo....na pengine kwangu hili ndo jambo kubwa kuliko yote
 
Mambo madogo yavunjayo ndoa.
1. Ulevi
2. Umbea
3. Pedi chafu kutupa uvunguni
4. Umaskini
5. Uvivu
6. Ulafi
7. Wizi
8. Kujamba mbele ya mpenzi wako
9. Kunya bila kufunga mlango (self room)
10. Ubahili
11. Kunuka pumb....(boxer)
12. Kunuka kwapa
13. Kuacha manywele kwenye chanuo la mme
14. Ubishi
15. Uongo
16. Uzurulaji
17. Upagani
18. Cm chating
19. Uvaaji wa kihuni
20. Ushabiki wa mpira ulopitiliza
21. Kukaakaa uchi pasipo sababu
22. Kutokujali
23. Pafyumu mbaya
24. Msomgamano wa watu kuriko ukubwa wa nyumba.
25. Gubu
26. Ushamba ulopitiliza
27. Majibu ya mkato
28. Ubize usio na maana
29. Umaarufu wa kijinga
30. Kusifia watu wengine
Hizo tabia zinavunja sana ndoa kimzahamzaha
UFAFANUZI
Miongoni mwa mambo madogo madogo machache hapo Juu,mtu mke/Mme anapokuwa anayatenda, hudharau akijua hayana madhara, ila kwa mtendewa huvumilia kwa masononeko ndani ya nafsi kiasi kwamba hisia za kimahaba humtoka taaratibu,pengine mengine hufikia kujihisi hathaminiwi,hana maana,Hafai n:k kitu ambacho humfanya atafte upendo/Furaha nje kwa jamaa na marafiki, na endapo atapewa huduma bora kuliko yako, hapo ndo hutamkamata tena, utaanza kulalama tu OOH MKE/MME WANGU AMEBADILIKA,SIMWELEWII....Kumbe chimbuko ni vijitabia vidogo vidogo na vya kijinga kabisa uvifanyavyo ndio vilivosababisha
Kuna watu umewasaidia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom