Recent content by Juma Bundala

  1. J

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba ni tatizo-Balile

    Majanga
  2. J

    JamiiForums Tanzania Makongoro Mahanga ashinda kesi ya uchaguzi jimbo la Segerea

    Kwa wale mlio mahakamani wekeni updates ya kesi ya leo kati ya cdm na ccm segerea
  3. J

    JamiiForums Tanzania Makongoro Mahanga ashinda kesi ya uchaguzi jimbo la Segerea

    Kwa wale mlio mahakamani wekeni updates ya kesi ya leo kati ya cdm na ccm segerea
  4. J

    JamiiForums Tanzania Makongoro Mahanga ashinda kesi ya uchaguzi jimbo la Segerea

    Endelea kutupa update kamanda tupo mikoani pia tupo mtandaoni kama kawa.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Taarifa Muhimu - Tafadhali Soma Hapa

    Jambo la msingi sana.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Steven Kanumba: Has a Very Touching Story!

    Wapenzi na washabiki wa kanumba nikiwemo poleni sana,mungu aiweke roho ya marehemu mahali pema peponi.amen.
  7. J

    JamiiForums Tanzania Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

    Nimesikia rfa kipindi cha michezo kuwa kanumba amefariki lkn chanzo hawaja sema,
  8. J

    JamiiForums Tanzania Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

    Fanyeni himahima jf muandike tanzia ya kanumba kwa uhakika.
  9. J

    JamiiForums Tanzania Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

    Jf tupeni taarifa kamili kuhusu kifo cha kanumba kama ni ghafla au lulu kasababisha
  10. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mkiishindwa na CCM safari hii mjiue!

    futa kauli yako haina mshiko kwani wangapi walioshindwa wapi,waambie ccm wenzako sasa wameshindwa wajiue.
  11. J

    JamiiForums Tanzania Nape kufuata mkumbo wa wakubwa wako kumkubali Siyoi imekula kwenu

    NAPE one mistake one goal,kukubali kwa shinikizo la wakubwa wake na yeye kuanza kumnadi SIOI AMEZOLEA AIBU,lkn ktk siasa akisa huyu lazima atakuwa amepata huyu.Hela,majina makubwa,kampeni za matusi namengine yaliyo semwa na CCM vyote vimekoma kutokana na ushindi wa KISHINDO WA CDM,NAPE IMEKULA...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Lusinde na kampeni za matusi umeambulia aibu kubwa

    Baada ya MB wa Mtera kuishiwa sera alianza kutoa sera za kumshagua SIOI ili kama kumpa lambilambi,kumpatia mshahara wa kuiongoza familia iliyoachwa na marehemu baba yake na pia kumfurahisha Rais KIKWETE,hakuishia hapo alianza kutoa matusi mazito kwa wapinzani wake husun chama cha CHADEMA,lkn...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Kumbe siku hizi Mtu akikuita JEMBE maana yake wewe ni SHOGA.

    Kama kisa nitundu we2 una matundu mangapi ktk mwili wako? Uikutajie unamatundu kama MDOMO,PUA,SIKIO,PIA NA SEHEMU YA HAJA KUBWA,thibitisha kwanza wewe kuwa unashiriki USHOGA make unamatundu mengi zaidi ya jembe lina tundu moja tu.Mimi hoja ya jembe kuwa na tundu iwe kigezo cha kuzuiwa kuitana...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Kuna vigezo gani vya kusema kiswahili kimetokana na kiarabu?

    hapo sawa toa neno SHULE,je maneno uliyoyaweka nikigezo tosha cha kusema kisw ni kiarabu na siyo kibantu?
  15. J

    JamiiForums Tanzania Picha ya Wassira akiwa amelala Bungeni

    inashangaza kwelikweli
Back
Top Bottom