Picha ya Wassira akiwa amelala Bungeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Picha ya Wassira akiwa amelala Bungeni

Discussion in 'Jamii Photos' started by Plato, Mar 23, 2012.

 1. Plato

  Plato JF-Expert Member

  #1
  Mar 23, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 421
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 33
  Wakuu, nimeiona picha ya wassira akiwa amelala bungeni kwenye www.mjengwablog.com nadhani ni muhimu iwekwe hapa pia ili kazi anayomuombea sioi sumari ifahamike ni nini kule bungeni.
   
 2. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #2
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,655
  Likes Received: 2,897
  Trophy Points: 280
  Wewe uliogopa nini kuiweka humu? Ole wake atakayenidisplay hapa!
   
 3. k

  kombah Member

  #3
  Mar 23, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 52
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  View attachment 49962
  Chakusinzia Bungeni huyu hapa wananchi wamemchagua akawaakilishe ili matatizo yao yapungue yeye ameenda kulala eti anampigia debe sio si atamuambukiza kulala bungeni jamani huyu msi mkubali arumeru sifa yake kubwa ni kuota vitu vyote anavyoongea ameota.
   
 4. Keen

  Keen JF-Expert Member

  #4
  Mar 23, 2012
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 620
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Haya maneno yanaendana na domo lako!!!!
   
 5. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #5
  Mar 23, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  Huyu hapa kauchapausingizi wa jirani yake alisema alikuwa ana koroma kabisa
   
 6. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #6
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  fuuuuuuuuu
   
 7. Ufunuo

  Ufunuo JF-Expert Member

  #7
  Mar 23, 2012
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  nakumbuka hapa alikua akimkaimu waziri mkuu bungeni (kiongozi wa shuhuli za serikali bungeni) CCM bwana....mh.
   
 8. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #8
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,655
  Likes Received: 2,897
  Trophy Points: 280
  Ndio, domo langu ni baya, lakini mimi ni Waziri, wewe je? Hata kiapo nilikula kwa maneno yaliyotoka kwenye domo hili hili. Naweza nikawa nimefumba macho lakini nafuatilia mijadala ya bungeni kama au zaidi ya aliyetumbua mimacho. Kwani macho yakifumba na masikio yanaziba? Acheni wivu, mimi ni waziri na Nassari atakuwa mbunge, aargh no I mean Sioi atakuwa mbunge!

   
 9. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #9
  Mar 23, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  hao ndo mawaziri wa JK ...na yeye mwenyewe si bingwa wa kulala..sijui wanakuwa wameumwa na mbung'o??
   
 10. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #10
  Mar 23, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Bungeni kuna raha jamani, nyinyi sikieni tu.

  The picture speaks for itself.
   
 11. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #11
  Mar 23, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Anaumwa ugonjwa kwa kitaalamu unaitwa TRYPANOSOMIASIS. Trypanosomiasis is a ZONOTIC DISEASE that means it affects HUMAN as well as ANIMAL. Trypanosomiasis in HUMAN is called SLEEPING SICKNESS and in ANIMAL is called NAGANA. Since the hounorauble is from GOMBE reserved area then he must be suffering NAGANA disease.
   
 12. ceekay

  ceekay JF-Expert Member

  #12
  Mar 23, 2012
  Joined: Dec 22, 2011
  Messages: 378
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 45
  Nimeipenda hii! Ha ha ha!
   
 13. J

  Juma Bundala Member

  #13
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  inashangaza kwelikweli
   
 14. Mtoto Wa Mbale

  Mtoto Wa Mbale JF-Expert Member

  #14
  Mar 23, 2012
  Joined: May 15, 2011
  Messages: 458
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Natumaini hii picha itakuwa imesambazwa kila kona Arumeru Mashariki.
   
 15. GIB

  GIB JF-Expert Member

  #15
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 2, 2012
  Messages: 337
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pole sana rais wangu JK ,if this is kind of ministers we have , real we Tanzanian we are in great troubles. shame up you
   
 16. Kinyerezi

  Kinyerezi JF-Expert Member

  #16
  Mar 23, 2012
  Joined: Jan 28, 2009
  Messages: 402
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Ya kutishia watoto? Mie napita tu:behindsofa:
   
 17. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #17
  Mar 23, 2012
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mkuu, mbona avatar yako kama Mzee nyani?
   
 18. kivyako

  kivyako JF-Expert Member

  #18
  Mar 23, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 8,861
  Likes Received: 4,242
  Trophy Points: 280
  Mwongozo wa spika! Tunaomba net mjengoni.
   
 19. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #19
  Mar 23, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Akiamka tu anapiga makofi , kuna siku alilala huku anaendesha gari akagongwa pale mataa ya Tazara
   
 20. Kakulwa P

  Kakulwa P JF-Expert Member

  #20
  Mar 23, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 200
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Huyu mtani wangu anasumbuliwa na ISIMAGILA ni neno la kilugha chetu nimempigia simu akishashindwa huko alipo aje anywe dawa. Ni aibu na sijui kwenye kampeini muda mwingi lazima asimame vinginevyo kukoroma kama kawa.
   
Loading...