Nape kufuata mkumbo wa wakubwa wako kumkubali Siyoi imekula kwenu

Juma Bundala

Member
Mar 9, 2012
71
5
NAPE one mistake one goal,kukubali kwa shinikizo la wakubwa wake na yeye kuanza kumnadi SIOI AMEZOLEA AIBU,lkn ktk siasa akisa huyu lazima atakuwa amepata huyu.Hela,majina makubwa,kampeni za matusi namengine yaliyo semwa na CCM vyote vimekoma kutokana na ushindi wa KISHINDO WA CDM,NAPE IMEKULA KWENU.CDM SAFI
 
Hivi nape anatumika vipi . Kule igunga aliambiwa asikanyage. Nafikiri ameleta nuksi huko arumeru. Yaani hapa magamba wanajichanganya kiaina . Ina maana walitaka washindwe walipomruhusu kwenda arumeru? Magamba ovyo sana
 
Hivi nape ni kweli alishiriki kampeni za SIOHI huko Arumeru,hakika itakuwa imetoa picha mbaya sana,kwa kuwa msimamo wa wake daima umekuwa ni vita vya mafisadi,leo kuwekwa sahani moja na anaopingana nao ni mtihani mwingine ambao unamvisha tope ambalo litachukua muda kujisafisha.

CCM wafike sehemu walio wasafi wawatumikie wasafi wenzao,nje ya hapo wote wataonekana ni manche ga nyanza!!!
 
Back
Top Bottom