Taarifa Muhimu - Tafadhali Soma Hapa

Taarifa Muhimu - Tafadhali Soma Hapa

Kutokana na hali ambayo imekuwa ikiendelea humu kwenye Jukwaa la MMU kwa muda mrefu napenda kuwafahamisha members wote kuwa kuanzia sasa thread zote ambazo zitakuwa posted hapa MMU zitakuwa under MODERATION kabla hazijawa approved tumeamua kufanya hivi kwa sababu kumekuwa na mlolongo wa TOPIC zisizokuwa na maana yoyote au TOPIC ambazo kimsingi hazina mantiki yoyote ndani ya Jukwaa hili.

Halikuwa lengo letu kufanya hivi ila kwasababu hali hii imeendelea kwa muda mrefu bila watu kujirekebisha hivyo basi tumeona itakuwa ni busara tukaliweka Jukwaa hili under MODERATION kama tulivyofanya kwenye Jukwaa la Siasa, topic ambazo tunaona zinafaa kukaa hapa zitawekwa hapa na ambazo tutaona hapa sio mahala pake zitahamishwa na kupelekwa Jukwaa husika. Lengo hasa ni kufanya maboresho kwenye Jukwaa hili na kuiweka JF katika hatua nyingine tofauti na sasa hivyo tunaomba sana ushirikiano wenu.

Poleni kwa usumbufu, na wale ambao watakwazika tunawataka radhi.



kunatatizo gani kwani kuna badhi ya topics sina ruhusa ya kuzifungua, na hata kua-attatch pct?
 
Uko oraiti naunga mkona kwa kuwa watu twapenda kujiunga ili tujumuishane mambo ya maendeleo na maisha na si vinginevyo SONGA MBELE
 
This is what it takes to be great thinkers who dare talk openly....
 
Nijanga km utaya2mia vibaya,huezi kusema kisu kic2miwe kwa kua kinatoa uhai wa w2 bl luangalia upande wa 2 wa sh kisu kina2saidia ma2mizi ya jikoni,na mengineo,
 
Back
Top Bottom