Recent content by Julius Kerenge

  1. J

    Nawashangaa wanaonihusisha mimi binafsi na Sheria ya Makosa ya Mtandao - January Makamba

    Nafurahi Watanzania tunaanza kuona wakosaji wa nchi na ukweli mnauweka wazi vizuri sana. Kwa namna hii nchi itasonga mbele maana tunaambiana ukweli,matokeo yake tutaheshimu nchi na maamuzi mazuri yatafanywa.
  2. J

    Yanga wainyuka Azam FC bao moja sifuri

    Semeni mambo hayo kwisha
  3. J

    UINGEREZA: Theresa May asaini barua ya kuanza kwa mchakato wa UK kujitoa EU

    Bado naona kama ndoto. Ebu kweli linakaribia kuwa kweli.
  4. J

    TANZIA Sir. George Kahama afariki dunia

    RIP Sir George mwana wa Tanganyika na mpenda ukweli. Tutakukumbuka sana lakini hatuna jinsi maana muumba ameamua.
  5. J

    Askofu Chimeledya asema leo mwisho kwa Mokiwa, anaviachia vyombo vya dola vifanye kazi

    Aibu sana kuona Askofu na askofu wanangombana, kisa madaraka ebu ninyi wawili tafakarini mambo yenu hayo kwa niaba ya kanisa. Ama kweli pesa!
  6. J

    Yanga wavunja mkataba na Hans Van Pluijm kwasababu ya ukata

    Yanga jipangeni tunaweza kuendesha club kwa mapato ya milangoni na kuunza uniform za wachezaji.
  7. J

    Former Gambian President Turned Rebel To Appoint A New Cabinet!'

    Wanamuchelewesha risasi zipigwe sisi tujuwe moja maana matatizo kama hayo hapa Africa ni mengi .Risasi ndiyo dawa yao.
  8. J

    Defiant lecturers vow to go on strike as court extends barring orders

    Well done KENYAN African leader don't understand unless you put things in perspectives.
  9. J

    Ndege ya Urusi imepotea kwenye rada

    Let's be obvious Russian at the moment is at war with Islamic State so anything can happen. Islamic State are good in interfering so, don't rule out them. Russian may pretend to cover it out but in the long run we shall have the truth.
  10. J

    Waziri Mwijage akiri serikali ilikuwa inaficha: Dangote wanataka gesi ya bure, hawatawapa

    Please Tanzania first and any other business later. Utakuwa ujinga usio na kichwa wala macho kuruhusu makaa ya mawe yatoke South Africa na sisi tuna kiwanda cha kutoa product hiyo hiyo na ya kufanya Nazi hiyo hiyo. Tufunge kiwanda chetu na tufukuze wafanyakazi Wa kiwanda hicho ila kiwanda cha...
  11. J

    Jaji Warioba: Nchi imepoteza mwelekeo, inaendeshwa na matukio

    Wana mitando ebu tulizeni vichwa mfikiri Tafadhali sana wacheni kuropoka.
  12. J

    Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar asema Mafia, Lamu pia ni sehemu ya Zanzibar

    Kama siku zote wanasema Tanganyika na Zanzibar in kitu kimoja sasa tudaiyana kisiwa vipi na sisi ni nchi moja? Ndugu mheshimiwa rais ebu wapuunze hao maana wana nia mbaya na wakizidi kamata wrote weka ndani maana wanataka kutuletea hadithi za kijinga.
  13. J

    TPA: Ni kweli Mizigo imepungua Bandarini

    Mimi nashauri mazungumzo yafanyike na sababu za kufanya bandari ipungukiwe mizigo serikali ielezwe na hatua zichukuliwe. Siyo kulaumu kama ninyi si watanzania.
  14. J

    Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji ameamua kujiuzulu nafasi yake

    Wana Yanga ebu mpeni team Yanga hasara yake Manji kuondoka inajulikana yanatosha hayo
Back
Top Bottom