Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,265
Utani mwingine ni wa ngumi, huwezi kumbeza Mrusi kiasi hicho na hili USA analijua na linamnyima usingizi kwani ndiye mpinzani pekee.Mkuu mimi nimecheka sana baada ya kusoma hilo bandiko.
Tuache ubishi wa vijiwe vya kahawa na tuseme ukweli
