Kurzweil JF-Expert Member May 25, 2011 6,622 8,410 Mar 3, 2017 #1 Klabu ya Yanga imesitisha mkataba na Hans Van Pluijm kutokana na ukata wa fedha hivyo kuona hawataweza kuendelea kumlipa.
Klabu ya Yanga imesitisha mkataba na Hans Van Pluijm kutokana na ukata wa fedha hivyo kuona hawataweza kuendelea kumlipa.
jerrytz JF-Expert Member Oct 10, 2012 5,975 4,264 Mar 3, 2017 #2 Ndio wakati sasa kwa wale waliokuwa wanampinga Manji kuendesha Klabu ya Yanga
J Julius Kerenge Member Mar 7, 2015 81 34 Mar 3, 2017 #3 Yanga jipangeni tunaweza kuendesha club kwa mapato ya milangoni na kuunza uniform za wachezaji.