bryan2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,321
- 4,671
Yanga 1 Azam O
Ni kijana Mzambia Akiwa hajawahi kuonekana amenyoa upara ila leo Akiwa na mwonekano wa Kipara pale uwanjani Ameisaidia timu yake Ya Yanga kushinda Goli 1 dhidi ya Wanalambalamba wa Azam waliondoka na Sifuri.
Hongera Yanga kwa kushinda Mtihani huu Mkubwa katika harakati za kutetea ubingwa wenu.