TANZIA Sir. George Kahama afariki dunia

TANZIA Sir. George Kahama afariki dunia

RIP Sir George mwana wa Tanganyika na mpenda ukweli. Tutakukumbuka sana lakini hatuna jinsi maana muumba ameamua.
 
Huyu mzee ni mzaliwa wa ushirika ni msomi aliyesomeshwa na pesa za ushirika ni mwana ushirika kindakindaki.Mapungufu ni pale akiwa Waziri washirika aliposhauriwa vibaya Mali za Shirecu an Nyanza alikubali ziuzwe kinyemela.Naamini serikali ya Magufuli watamuenzi kwa kukamata wale waliofilisi ushirika wa nguvu shirecu and Nyanja
 
Katafuna sana wilaya yangu ya Karagwe!

Enzi hizo za vyama vya ushirika Mzee wangu alikuwa anavuna mpaka gunia 300 za kahawa mpka anakufa miaka ya 90 alimudu kununua baiskeli ya phonex basi! CCM Mungu anawaona..
Ahahaaaaa,, usiniue,, baada ya kushukuru mzee wako kuelimishwa umuhimu wa kahawa naye kukuachia urithi wa kutosha, unailauum ccm,, nikuulizeee hadi leo umefaidika vip na shamba hilo
 
Sina Maelezo sana ya kutosha, lkn niliwai sikia title ya sir kapewa na Nyerere na yeye Ndio mtz wa kwanza kupewa title hiyo ijapo hakuwa Mwalimu kama wengi wanavodhan kuwa title ya u-sir anapewa mwl pekee
Rudi kasome tena, inamaana elton john naye ni mwalimu?
 
RIP. Bwana alitoa na Bwana ametwaa,jina lake lihimidiwe. Amen.
 
Unawaza pesa tu
Wa hivi ni hatari sana mkuu. Ndo utakuta wakati nyinyi mkiomboleza yeye anakuwa busy na kubadirisha sahihi, majina na kila kitu kwenye mali za marehemu ili ziwe zake.
 
Chuo kikuu cha Ushirika ana jengo limepewa Jina Lake .Lecture Hall ipo Karibu kabisa na Hostel aliyeyokua akiishi aliyekua mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda au Daudi Albert Bashite.


Lazima Bashite atajwe? Hahahahaha
 
Ahahaaaaa,, usiniue,, baada ya kushukuru mzee wako kuelimishwa umuhimu wa kahawa naye kukuachia urithi wa kutosha, unailauum ccm,, nikuulizeee hadi leo umefaidika vip na shamba hilo
Acha mkuu shamba mpk napata akili lilishakufa nimekuta pori baada ya Mzee kufa, zingatia alikuwa analiendesha kwa hasara zaidi ya miaka 40.
 
"Iliporuka zaidi nikasikia MAWEEE"-MWL JKN
M.A.P Sir J.C.K
 
Back
Top Bottom