Ipo haja ya serikali kufanya sensa kupitia serikali za mitaa. naamini kila mtanzania ana serikali yake ya mtaa. watendaji na wajumbe kwenye serikali za mitaa kupitia ishu kama hizi ndio nao wapate kipato kwani hawana ujira. na wanapofanya sensa kama hii wabakie na takwimu za watu katika mitaa...
inaonyesha hatujui tatizo la nchi yetu liko wapi udsm haihusiki hata kidogo
tatizo ni tumeunda uongozi wa nchi kwa kuweka mihimili mitatu ya uongozi.
bila kujua au kwa kujua tukaiua mihimili miwili ambayo ni bunge na mahakama kwa kuifanya kama taasisi ndani ya mhimili mmoja ambao ni serikali...
nina wazo la kuanzisha jalida linaloitwa "kuelekea tanzania mpya" kwa ajili ya kuibua changamoto za kisiasa na kiuchumi tanzania ili zijadiliwe.
tayari nimeandaa toleo namba moja ambalo linachambua bunge la jamhuri ya muungano kwa kuangalia bunge lilivyo dhaifu kama kuendesha mijadala kwa mfumo...
Jamani hii ndio sera yetu Tanzania ya mfumo holela
hakuna mahali kunatendeka usawa, hata wanaolalamika mkiwapa nafasi watafanya hayohayo, sina maana ya kutetea serikali bali ninasema katiba mpya tuunde taasisi za juu kila moja imara hasa bunge likiwa imara likasimamia serikali tutapunguza...
Nchi haina wachumi
mimi ingawa kitaaluma ni mhandisi lakini sina budi sasa kuomba kazi ya kuishauri serikali kiuchumi.
maendleo hayakimbiliwi bali unatengeneza mfumo yanakuja yenyewe.
ni wapi mmeona barabara za juu zinapita kwenye makazi kama ya manzase , magomeni,
ili kupata kibarua hiki...
kUMHOJI RAISI HAKUNA MANTIKI KWA MFUMO WETU W UONGOZI
KWA MUJIBU WA KATIBA WAZIRI MKUU NDIO MTENDAJI MKUU WA SHUGHULI ZA SERIKALI
HIVYO CHA KUFANYA NI KUTAMBUA RAISI NI KIONGOZI WA KUCHAGULIWA, TUMUACHE AFANYE KAZI ZA KUHAMASISHA, KUJENGA UHUSIANO KUTOA MAAMUZI YA MWISHO YASIYO YA KUKURUPUKA...
suluhisho katiba mpya jamani
tuondoe makambi bungeni. bunge tulifanye moja kusimamia seriakali. na kuishairi.
bunge lisifanywe sehemu ya kufanyia ubishi wa kisiasa bali ni chombo muhimu kwa kusimamia serikali. utashangaa waziri anaenda kusaini mkataba wa madini uingereza wanaelezwa wananyamaza...
Haya ndiyo yanayodidimiza uchumi wetu
hizo picha zinavutia ila baada ya ujenzi utashangaa maana mimi niliona pendekezo la mlimani city kwenye picha ila baada ya kujenga huwa najiuliza hivi hapa ndio tulidhani ni new city ndani ya dar.
Ukweli haya tunafanya ni kujinyonga kiuchumi. Niulize kwa...
nidhamu ya woga wetu watanzania ndio unaotudumaza kimaendeleo.
mimi nampongeza mnyika kwa kuwa na msimamo katika alilolisema, watanzania waliowengi hawasemi yale wanayoamini moyoni bali wanasema yale wakubwa wanayotaka kusikia.
mfano ripoti ya mkaguzi na mdhibiti mkuu wa hesabu za serikali kwa...
hapa serikali inatakiwa iangalie kwa makini
Miji yetu inavurugika kwa fikra potofu za waliopewa dhamana. hivi ukiangalia jiji kama dar es salaam inasikitisha. nenda maeneo kama buguruni kwa ndani nyumba zinasikitisha, nenda magomeni nyumba za ajabu mikocheni ukipita barabara kuu unadhani ni jiji...
Jamani wabunge wanaosema wako sahihi kabisa na mimi nawapongeza, kikatiba bunge ndio chombo kikuu cha maamuzi nchini na ndicho chenye dhamana ya kusimamia na kushauri serikali. Lakini kwa mda mrefu kimepokonywa madaraka haya na serikali imejiweka juu ya bunge na kupuuza madaraka ya bunge. Hivyo...
Jamani wabunge wanaosema wako sahihi kabisa na mimi nawapongeza, kikatiba bunge ndio chombo kikuu cha maamuzi nchini na ndicho chenye dhamana ya kusimamia na kushauri serikali. Lakini kwa mda mrefu kimepokonywa madaraka haya na serikali imejiweka juu ya bunge na kupuuza serikali. Hivyo...
kitendo cha kuwakabidhi takukuru tayari hawana kesi maana kimsingi hawa wengi hawakula hela hizi bali ni wazembe hawasimamii wizara zao. ushahidi wa kutafutwa na takukuru sioni bali wao ni uzembe na ripoti bila shaka ripoti ilisema kwa kila upotevu mhusika ni nani.
binafsi nimesikitika kwa...
raisi wa kwanza mzuri katika zama hizi ni yule atakayetuwekea mfumo mzuri. hata raisi awe mzuri kiasi gani mfumo wetu ni mbovu. ila kikwete anayo nafasi ya kuwa raisi wa historia kwa kutuwekea mfumo kupitia katiba mpya. akivunja atamuweka nani? ambaye anauhakika atafanya kazi vizuri.
tuko na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.