Mtei akoleza moto wa Mnyika

In private, ni wabunge wangapi wa ccm wanatofautina na maneno ya Mnyika?
 
Huyu Mzee naye anazeeka vibaya, anasifu ujinga.

attachment.php

Press your order NOW!!!
 
Ni kwa asiyemjua huyu mzee tu ndio atakayesumbuka, anajulikana kwa tabia yake ya kujadili watu kwa majina yao.

Hana tija kwa taifa letu apuuzwe.
Wewe kabisa uingie kwenye mzani na kumpuuza Edwin Mtei!!!! strange kweli vichuguu ni hatari kumbe waweza jikwaa!!
 
Yaani hivi nchi hii hakuna kanuni kama ile ya Bunge ya kumtoa nje ya nchi mtu kama huyu anayesema kuwa Raisi kikwete ni Dhaifu??????

Mh. Lukuvi kwa nini na hapa usiombe Mwongozo wa Spika ili Bw. Mtei atolewe nje ya nchi, kwani hatuwezi kumtoa Bungeni kwa sababu siyo mbunge hivyo inabidi atolewe nje ya nchi kwa kutoa maneno yanayofanana na ya Mh. Mnyika.

Lukuvi fanya kazi yako:



MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!

Fikiria ni kwanini alipata Upinzania 2010? Ni kwasababu hao Wapinzani waliona Udhaifu wake kwenye Uongozi wake

Kwahiyo wakaona upenyo wakajenga HOJA ya kutaka kumng'oa Madarakani, lakini Unaona alikuwa Imara akashinda

Kwahiyo kwama Mmoja anakuona Dhaifu, hauhitaji Nguvu za Dola eti kumuondoa huyo mtu, la hasha ni kumprove

Wrong kwa kufanya kazi yako na kuonyesha Matunda, achana na Safari zako za Nje...
 
attachment.php

Press your order NOW!!!

Mimi bado huja nishawishi kutoa order hapa ya Tshirt. Labda ubadilishe maneno...

Andika: "J. KIKWETE NI DHAIFU NA WABUNGE WA CCM WAZEMBE"

Hapo nitatoa order mbili mbili kwa famili yangu yote. Nina mke na watoto wanne plus beki nambari mbili wawili



MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
 
pambav zake,wewe utakuwa umezaliwa miaka ya 90,humjui nyerere unamsikia tu.Tuulize sisi tuliokuwepo enzi za utawala wake wa udikteta.Acha kuropoka dogo unamezeshwa maneno unatapika.Unataka kuchokoza machungu yetu dhidi ya huyo mzee mchonga meno

Na wewe inaonyesha umezaliwa miaka ya 80's

(1)Je unajua kuwa Nyerere alikuwa na uchungu kwa nchi hii na wananchi wake, hata akakubali kuacha kazi ya kuajiriwa Serikali ili kukiimarisha chama cha TANU?

(2)Unajua kuwa Tanganyika ilipata uhuru mwaka 1961, na Nyerere akawa Raisi wa Tanganyika mwaka 1962,
(3) Unajua miaka miwili tu ilimtosha Nyerere kuunganisha Tanganyika na Zanzbar,
(4)Unajua ni miaka 5 tu ilimtosha Nyerere kama Raisi kuwafukuza Wazungu ili nchi itawaliwe na Watanganyika wenyewe (Azimio la Arusha - ambalo nyie mmelizika kule ZNZ).
(5)Unajua ni miaka 10 tu ilimtosha Nyerere kufikiria kutoa Elimu kwa wote (Azimio la Musoma 1972)
(6)Unajua ni miaka 15 tu ilimtosha Nyerere kufikiria kuunganisha Afrika Mashariki.
(7) Unajua Nyerere alikuwa na uchungu na wananchi wake hata kipindi cha janga la njaa alikwenda nchi za nje ya Afrika kuomba chakula kwa ajili ya wananchi wake.
(8) Unajua Nyerere kwa kushirikiana na Sokoine waliweza kupambana na wahujumu uchumi.
(9) Unajua.............................. nk, nk, nk,

HAYA ni MACHACHE TU NINAYOWEZA KUYAKUMBUKA KWA MUDA huu!!!!!!!

HUYU NI KIONGOZI MFANO HAIFAI KUMBEZA Hata SEKUNDE MOJA KWA MTU MWENYE AKILI TIMAMU NDIO MAANA ANAHESHIMIKA BADO hadi NCHI ZA NJE YA AFRICA.



MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
 
nidhamu ya woga wetu watanzania ndio unaotudumaza kimaendeleo.

mimi nampongeza mnyika kwa kuwa na msimamo katika alilolisema, watanzania waliowengi hawasemi yale wanayoamini moyoni bali wanasema yale wakubwa wanayotaka kusikia.

mfano ripoti ya mkaguzi na mdhibiti mkuu wa hesabu za serikali kwa miaka mingapi imewasilishwa bila hatua za kuchukuliwa? bunge kuja kujadili lilijadili raisi akiwa amekwisha pokea ripoti hiyo na kuona uozo uliopo au alikuwa hajauona na kama alikuwa ameiona alichukua hatua gani. je baada ya kushinikizwa na bunge alichukua hatua au hakuchukua.

hapa sijui tafsiri yake nini ila kiongozi jasiri ni yule ambaye angepata ripoti akachukua hatua na bunge linapojadili anasema nimekwisha chukua hatua fulani kinyume chake ni udhaifu na mnyika kaadhibiwa kwa ujasiri wa kusema ukweli kama taifa tuanze kuambiana ukweli ili tusonge mbele
 
Yaani watu wengi viraza, Kila anayesema ukweli eti anatafuta umaarufu hasa wa upinzani, Mtei kasema ukweli eti huyo anazeeka vibaya, wewe unaye sifia ujana wako Taifa umelifanyia nini?
 
Huyu Mzee naye anazeeka vibaya, anasifu ujinga.

Remember this old man was the BOT Chief during Mwalimu Nyerere's era.
Kwa hiyo Mtei siyo mtu wa kumbeza hata kidogo. Enzi zake hakuwahi kuboronga kama kina Balali na kina Mchembe wanaodai eti ni 1st Class Economists! Upumbavu mtupu!

Alichokisema BOT Governor(rtd) ni ukweli na hata Rais wako Kiwete amesikia na kama ana masikio ya kusikia. Kwa hiyo sms is sent!
 
Nchi nzima inajua kuwa JK ni dhaifu na kuna mzungu mmoja katika gazeti fulani aliandika makala ambayo iliwekwa hapa jamvini akisema kuwa "JK is a global laughing stock" yaani hata watu wa nje wanalijua hilo. Magamba wote wanalijua hilo na wamshukuru sana Mh.Mnyika kuwasemea kwa sababu kwenye chama chao hakuna mwenye udhubutu.

Kwa hiyo basi kama JK anataka kuondokana na fedheha hii hana budi kutimiza kile wananchi wanacho tarajia kutoka kwake. This guy is tired and he is not the man of action. Hivi sasa tunanyemelewa na mgomo wa madaktari, mtaona jinsi atakavyo ushughulikia kama siyo kupanda ndege na kukimbia.

Mioyo ya watanzani walio wengi wanajua raisi ni dhaifu ndo maana nchi inayumba mnyika amechukua dhamana tu ya kufikisha ujumbe
 
Remember this old man was the BOT Chief during Mwalimu Nyerere's era.
Kwa hiyo Mtei siyo mtu wa kumbeza hata kidogo. Enzi zake hakuwahi kuboronga kama kina Balali na kina Mchembe wanaodai eti ni 1st Class Economists! Upumbavu mtupu!

Alichokisema BOT Governor(rtd) ni ukweli na hata Rais wako Kiwete amesikia na kama ana masikio ya kusikia. Kwa hiyo sms is sent!
IMF na WB kamwe hazitatusaidia kuleta maendeleo, bali kuleta unyonyaji wa maliasili zetu,kututumbukiza kwenye madeni na kuondoa usawa kati yetu.

The ol'man was Mr. Washington consesus ..... his policies failed Africa, now even China and South Africa are in the game, trying to get the last of what Africa has .... SHAME ON YOU MR. MTEI.
 
Back
Top Bottom