Jarida La Kuelekea Tanzania mpya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jarida La Kuelekea Tanzania mpya

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Julian Emmanuel, Aug 15, 2012.

 1. J

  Julian Emmanuel Member

  #1
  Aug 15, 2012
  Joined: Mar 6, 2007
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nina wazo la kuanzisha jalida linaloitwa "kuelekea tanzania mpya" kwa ajili ya kuibua changamoto za kisiasa na kiuchumi tanzania ili zijadiliwe.

  tayari nimeandaa toleo namba moja ambalo linachambua bunge la jamhuri ya muungano kwa kuangalia bunge lilivyo dhaifu kama kuendesha mijadala kwa mfumo wa sekondari badala ya kuendeshwa kama bodi ya wananchi kusimamia serikali.

  kimsingi nimeangalia bunge ni nini katika mihili mitatu na linatakiwa kuwa na mamlaka yapi kama muhimili wa wananchi, je linafanya kazi iliyoainishwa kikatiba ya kusimamia na kushauri serikali na je bunge ni la wananchi au limetekwa na vyama vya siasa kama sehemu yao ya kuendeshea harakati za kisiasa, je tufanye nini ili bunge lisimamie serikali?

  Tahadhali jarida hili halitakuwa na mlengo wa itikadi za siasa, halitakuwa na itikadi za dini ila linaweza likawa na mwelekeo inapokuja swala la tanzania na mataifa mengine hasa katika uchumi

  natafuta wadau wa kushirikiana nao

  tuwasiliane icsgroups.info@gmail.com au emmanuel2002tz@yahoo.com
   
 2. J

  Julian Emmanuel Member

  #2
  Aug 15, 2012
  Joined: Mar 6, 2007
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tunapokea na mawazo ya kuboresha
   
Loading...