Jiji la Dar es salaam litakavyokuwa baada ya miaka mitatu ijayo. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jiji la Dar es salaam litakavyokuwa baada ya miaka mitatu ijayo.

Discussion in 'Jamii Photos' started by jchofachogenda, Jul 5, 2012.

 1. jchofachogenda

  jchofachogenda JF-Expert Member

  #1
  Jul 5, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 507
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Hivi ndivyo jiji la Dar es salaam litakavyokuwa baada ya miaka mitatu ijayo ambapo mradi wa mabasi yaendayo kasi utakuwa umekamilika.Barabara ya Morogoro wameshaanza ujenzi. 102.JPG 130.JPG 131.JPG
   
 2. jchofachogenda

  jchofachogenda JF-Expert Member

  #2
  Jul 5, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 507
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Eneo la Manzese darajani litakavyokuwa.
  [​IMG]
   
 3. jchofachogenda

  jchofachogenda JF-Expert Member

  #3
  Jul 5, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 507
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Eneo la Ubungo Terminal na Ubungo mataa litakavyokuwa,hapa zinaonekana barabara za juu.(frying overs)
  [​IMG]
   
 4. jchofachogenda

  jchofachogenda JF-Expert Member

  #4
  Jul 5, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 507
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Vituo vya Mabasi ya Mwendo kasi.
  [​IMG]
   
 5. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #5
  Jul 5, 2012
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Kumpaka NGURUWE Lipstick, hakusaidii kwani Nguruwe atabaki Nguruwe.

  Dar utaendelea kuwa MJI MCHAFU :(
   
 6. mansakankanmusa

  mansakankanmusa JF-Expert Member

  #6
  Jul 5, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,092
  Likes Received: 603
  Trophy Points: 280
  huh ulaya ulay
   
 7. k

  kijiichake JF-Expert Member

  #7
  Jul 5, 2012
  Joined: Oct 13, 2010
  Messages: 285
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Miaka hamsini ya hari nguvu na kasi si ilisha pita, hakuna lolote la maana limefanyika, zaidi ya mipasho na kejeli.
   
 8. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #8
  Jul 5, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Umeitoa utamu habari yote. Kama hujui lugha ya watu ni lazima uitumie?
   
 9. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #9
  Jul 5, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Kikwete anafanya kweli, nyie kaeni na usongo tu.
   
 10. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #10
  Jul 5, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,633
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  nimemkumbuka Kat-de Luna am I dreaming? Nadha ndo sisi watanzania
   
 11. B

  BLB JF-Expert Member

  #11
  Jul 5, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 395
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  mfano "unajitaftia umaarufu humu ndani"
   
 12. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #12
  Jul 5, 2012
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Nimesema LITABAKI ikiwa na maana Kikwete alilikuta CHAFU na ataliacha CHAFU.

  Hapa siwezi kumlaumu Kikwete kwani ndiyo matatizo ya Katiba yetu inayowafanya watu wawe WAFALME (Tundu Lisu).
   
 13. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #13
  Jul 5, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Huna hoja wewe, usongo tu wa kuona Kikwete anafanya ambavyo havijawahi kufanywa Tanzania hii. Kwi kwi kwi teh teh teh. Umepita Morogoro Road? unaona kazi inavyoendelea? au?
   
 14. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #14
  Jul 5, 2012
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Ndiyo maana nikaita LIPSTICK, Wakuja.

  Subiri Mvua inyeshe hapo Dar na watu waanze KUTAPISHA Vyoo vyao.

  Misomi mizima na mingine Mfisadi na imeiba hela nyingi, ila mbele ya nyumba yanapita Maji Taka.

  Enzi ya Nyerere walau kulikuwa na Mitaro ya maji machafu/mvua ila kwa sasa imebaki historia.

  Ningelimuona mtu wa anayefikiri katika 3D kama angelianza kujenga Reli na kuweka Mabasi yanayopita kwenye Reli.

  Dar utaendelea na uchafu wake hadi aje Rais MKRISTO anayependa Usafi aubadilishe.

  Angalia mambo yanayokwenda Spain(siyo mpira) na ndiyo uwaonee wivu na siyo mambo yanayokwenda Dar.
   
 15. zimwimtu

  zimwimtu JF-Expert Member

  #15
  Jul 5, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 1,889
  Likes Received: 621
  Trophy Points: 280
  another day dreamer
   
 16. J

  Julian Emmanuel Member

  #16
  Jul 5, 2012
  Joined: Mar 6, 2007
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Haya ndiyo yanayodidimiza uchumi wetu

  hizo picha zinavutia ila baada ya ujenzi utashangaa maana mimi niliona pendekezo la mlimani city kwenye picha ila baada ya kujenga huwa najiuliza hivi hapa ndio tulidhani ni new city ndani ya dar.

  Ukweli haya tunafanya ni kujinyonga kiuchumi. Niulize kwa nini

  uchumi wetu unakua. Tunachukua fedha kupitia vyanzo mbalimbali ila mipaka ya nchi yetu inavuja fedha kwa kiasi kikubwa zinaishia nje ya nchi.

  Moja wapo ya sekta inayoongoza kwa kutorosha fedha zetu ni sekta hii ya magari

  kukua kwa uchumi kunasababisha kufurika kwa magari. Simu. Vifaa vya elekronic maana yake fedha inaingia inatoka.

  Kwa mwaka 2009 tanzania tuliingiza mafuta kwa mujibu wa ewura lita bilioni 1.55. Ukitazama kwa bei ya mafuta mitaani ni zaidi ya trilioni 3 za kitanzania mnaojua bei ya mafuta kufika bandari ya dar jiulize ni asilimia ngapi ya hizo trilioni tatu iliishia nje.

  Itakuwa inafikia trilioni mbili

  sasa leo nasikia serikali imetenga bilioni kama 800 kuondoa msongamano dar

  je fedha hii haitoshi kujenga reli kutoka mbagala. Pugu. Chalinze na goba hadi kati kati ya dar na kuweka masharti magumu kwa uendeshaji wa magari ili tusitengeneze njia za magari kuendelea kudidimiza uchumi wetu?

  Tukifanikiwa angalau kukomboa trilioni moja kwa mwaka ni kiasi kikubwa ambacho kinaweza kutengeneza ajira nyingi kwa watanzania iwapo serikali itabana na kuzuia mfumuko wabei

  tunakokwenda nchi zikawa na uchumi mzuri kuliko sisi lakini tukakuta magari yenye hadhi ndogo ni kulinda uchumi wao

  kitabu cha katiba na mwelekeo wa uchumi kinakuja hivyo tujiandae kununua na kuona jinsi tunavyoweza kuelekeza fedha hizi zibadili mandhali ya jiji letu kabla ya kuleta mafuriko ya bidhaa za nje
   
 17. Utotole

  Utotole JF-Expert Member

  #17
  Jul 5, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 6,344
  Likes Received: 3,178
  Trophy Points: 280
  Ni KWELI anafanya vitu ambavyo havijawahi kufanywa Tanzania: To mention a few...Richmond, EPA, Rada, Madaktari, Liwalo na liwe, etc. Bravo!
   
 18. N

  Nasolwa JF-Expert Member

  #18
  Jul 5, 2012
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 1,830
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Nadhani ulitaka kusema pengine angalau miaka 30 badala ya 3 naona ulisahau 0
   
 19. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #19
  Jul 5, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Richmond, EPA, Rada, = Mkapa, Kikwete ndio kashughulikia fedha zimerudi.

  Madaktari = Ulimboka!

  Bravi = Pita Morogoro Road.
   
 20. webondo

  webondo JF-Expert Member

  #20
  Jul 5, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 1,724
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 160
  Nimepita hata kamtaa!
   
Loading...