Recent content by jui

  1. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, mtu ukichepuka inamaanisha humpendi mwenzi wako?

    Km hujawa ndani ya ndoa utaongea mengi sana ila ukiingia mengi utayajua na kwann watu wanachepuka utaelewa vizuuri kuliko kijipigisha blala blala
  2. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, mtu ukichepuka inamaanisha humpendi mwenzi wako?

    Self?? Fafanua
  3. J

    JamiiForums Tanzania Wajue Rockafeller Family: Familia tajiri zaidi Marekani na Duniani

    Wakuu Ctu na juve muendelezo plz
  4. J

    JamiiForums Tanzania Kwa wale ajira mpya walio repoti vituo vya kazi mwaka jana na ajira zao kusitishwa

    Usiandike habari za kusadikika!! Na wale waliopata ajira na kupewa barua kabla ya kuripoti vituo vya kazi ajira zikasitishwa vp hao, matumaini yapo??? Muongozo mkuu
  5. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hasira zangu zinaisha kwa kufanya mapenzi je ni tatizo

    Swali umeoa??
  6. J

    JamiiForums Tanzania Wanaume wenye six pack hawana pesa kabisa

    Wanapenfa ganda la ndizi na wake za watu ili wahongwe, wengi ni mariooooooooooooooooooo![emoji12] [emoji12] [emoji12]
  7. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Huyu jamaa atampa mkopo?

    Msg zenu nimemuonyesha nimemuonyesha nimemwambia ajiamulie mwenyewe
  8. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Huyu jamaa atampa mkopo?

    Umesomeka mkuu
  9. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Huyu jamaa atampa mkopo?

    Ni marafiki wa kitambo
  10. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Huyu jamaa atampa mkopo?

    Kuna mdada kanijia asubuhi anataka ushauri eti kuna jamaa alimuahidi mtaji miezi mitano iliyopita akamwambia atampa milioni moja na nusu baadae akamwambia atamfungulia duka kwa madai yake anauwezo mkubwa tu. Baadae akamwambie aage home anaenda kupanga ili ajisogeze kwa mshkaji msichana...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Msaada jamani, kuna mdada nimempenda humu JF lakini nashindwa kumwambia

    Hapo juu ya kichwa chako ndo shida hebu jiangalie vizuri
  12. J

    JamiiForums Tanzania Shukrani kwa Jf members kwa kunikaribisha humu.

    Poa,
  13. J

    JamiiForums Tanzania Shukrani kwa Jf members kwa kunikaribisha humu.

    Zege domo achia fesibuku
  14. J

    JamiiForums Tanzania Msaada jamani, kuna mdada nimempenda humu JF lakini nashindwa kumwambia

    Tatizo sio ww
  15. J

    JamiiForums Tanzania Msaada jamani, kuna mdada nimempenda humu JF lakini nashindwa kumwambia

    Zege domo[emoji15]
Back
Top Bottom