Kwa wale ajira mpya walio repoti vituo vya kazi mwaka jana na ajira zao kusitishwa

chalupa

Member
Oct 14, 2014
36
29
wale wote waliositishiwa ajira zao mwaka jana na hawakuwa wamepata cheki no. soon mambo yatakuwa ok kaeni mkao wa kula! mana waliokuwa na cheki no. tayari walisharudi tangu mwaka jana mwezi 11! it is now time 4 u! get prepared
 
Usiandike habari za kusadikika!! Na wale waliopata ajira na kupewa barua kabla ya kuripoti vituo vya kazi ajira zikasitishwa vp hao, matumaini yapo??? Muongozo mkuu
 
Habari za kupotosha hizo kama ni za kweli atupe source ya uhakika sio taarifa za hewani hewani tu
 
Back
Top Bottom