Recent content by judazjr

  1. J

    JamiiForums Tanzania Ni nani Mmiliki Wa Blog Hii Millardayo.com?

    yupo sawa milladayo kutokupost ivyo vituzo coz hata vyenyewe ni vya ajabu muno...toka lini chuchu hans akawa muigizaj bora wa kike wa mwaka kwa kipi alichofanya???? hazitofautiani na zile za kili awards...ndo maana wenye bongo fleva yao WCB hawakuzitambua...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Samuel Jackson agoma kuhama Marekani baada ya Donald Trump kushinda urais

    dah kwel marekani kuna uhuru hadi raha yani izo mitus zimeandikwa kumuhusu rais na kawaida tu... ingekua kwa anko magu sahv mtu angekuwa segerea na sare kapewa.....
  3. J

    JamiiForums Tanzania Ruby! sifa zimemponza

    atajuta ustaa wa miaka 2 tu ashafulia...bora ajiimbie zake kwaya tu
  4. J

    JamiiForums Tanzania Diamond jitathmini upya! ‘kokoro’ imekuvua nguo mshkaji wangu

    sijaona point yako bro.. acha unafiki dada zako wanavalia kwa uo mtindo huwaon??? #mondi fanya upendavyo.. tunyooshe
  5. J

    JamiiForums Tanzania NACTE kulikoni, mnatumia vigezo gani?

    mkuu hujazurumiwa apo uyo wa kwanza kafanya physics we hujafany uyo wa pili kakupita c ya chem na uyo mwingine ana c ya bio....nacte wanaangalia cut off kwenye p c b plus engl na math na sio division..
  6. J

    JamiiForums Tanzania Kakataa kuolewa na mimi sababu sijatahiriwa

    ivi huoni ata aibu unasimama mbele ya wanaume wenzio unatoa mada eti hujatahiliwa??
  7. J

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ananipenda lakini hataki kunioa

    funga na kuomba utapata jibu sahh
  8. J

    JamiiForums Tanzania Boss anajua siku zangu za period

    nimecompare majibu yako unaonekana unapenda na umeridhishwa na hiyo hali so go ahead
  9. J

    JamiiForums Tanzania My first boyfriend

    amka ndotoni
  10. J

    JamiiForums Tanzania Samahani mke wangu

    inaitwaje iyo muvi namm niitafute
  11. J

    JamiiForums Tanzania Msaada: Walioshindwa kupata D mbili wanaenda wapi????

    NACTE wamefungua tena usaili mwisho tar 13 /08
  12. J

    JamiiForums Tanzania Kuhusu ku apply diploma UDOM

    kama upo mbali na dodoma unafanyeje mkuu
  13. J

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa yeyote aliyemaliza form 6 2016

    labda kaomba diploma uyo co bachelorr
  14. J

    JamiiForums Tanzania Prof. Joyce Ndalichako, anzisha bodi ya Mitihani ya Level 4 – 6 vyuo NACTE;

    tushakuchoka mh waziri unafanya fanya maamuzi mengine yana madhara bhn... acha kuleta siasa kwenye future za watu urais hautafutwi ivyo
Back
Top Bottom