manyata mswaga
Member
- Aug 6, 2016
- 11
- 3
ACHANA NAE AKAFYATUEEEE WATOTO MAANA ELIMU BURE SASA
Ameshasema hana uzazi asa huyo mtoto atampataje acha kumfariji kwa kitu kisichowezekana.Huyu ni mwanadamu sio Mungu amin ipo siku utapata mtoto hata usijal kuwa ma aman na mtegemee mungu wako
Hakuna kinacho shindikana wew kwa Mungu acha kumvuja moyo icho ni kitu kidog san mbel za MunguAmeshasema hana uzazi asa huyo mtoto atampataje acha kumfariji kwa kitu kisichowezekana.
duh unaweza kuwa uko serious au unatania tu?Anaeweza tuoane
unamaanisha Mungu au mungu?muweke mungu mbele binadamu si msaada kwako
Sawa but tatizo sio kutokushika mimba tatizo kizazi hanaHakuna kinacho shindikana wew kwa Mungu acha kumvuja moyo icho ni kitu kidog san mbel za Mungu
Umri wangu 30 ni mwanamke napendwa na huyu kaka lakini kunioa hataki ,tatizo ni mm sina uzazi.
Anataka kuoa mwanamke mwingine lakini kuniacha hataki na kuwa mchepuko sitaki .
Naomba ushauri wenu wauungwana
Km kizazi hana implantation haiwezekani.NENDENI MKAFANYE IMPLANTATION MTAPATA WATOTO