Prof. Joyce Ndalichako, anzisha bodi ya Mitihani ya Level 4 – 6 vyuo NACTE;

Prof. Joyce Ndalichako, anzisha bodi ya Mitihani ya Level 4 – 6 vyuo NACTE;

R.B

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2012
Posts
6,296
Reaction score
2,578
Wanafunzi wenye Ufaulu Mdogo wanatakiwa wapelekwe Vyuo vya Ufundi. Ndo Msingi wa serikali kuanzisha vyuo vya ufundi kama IFUNDA, MOSHI, ARUSHA, BWIRU, TANGA , DIT Tech
KWA SASA VYUO HALALI VILIVYOSAJILIWA NA NACTE NI 525; National Council for Technical Education (NACTE)
Waziri wa Elimu ; Tunatambua huna kazi kubwa ya Kucontrol vyuo vilivyochini ya Bodi ya NACTE aswa vya binafsi : Kusajili ni swala moja lakini Evaluation katika final stage umekuwa mtihani mgumu;

Tunaomba kama wadau wa Elimu acha vyuo vifanye mitihani yako ; Kama inavyohitajika , vyuo watoe matokeo yao katika level ya Chuo;

Lakini kama wizara anzisheni Mitihani ya Bodi ya NACTE aina Mbalimbali kama Necta wameweza kutunga mitihani ya F4 na F6 na kumoderate ;Why not . Kama ilivyo NBAA na Mitihani ya Bank au Procurement. Na ili mtu afanye Mitihani hii lazima awe amesoma kozi katika vyuo vinavyotambuliwa na Nacte.

Na hii ndo sifa kuu katika Ajira.

Mithani hiyo iwe kama ifuatavyo katika level ya Certificate na Diploma.

National Council for Technical Education (NACTE)

  1. Health and Allied Sciences (Including Community Health, Health Records etc),
  2. Teacher Education NACTE not NECTA,
  3. Administration, Business, Law, Planning, Social Work, Community Development, Record, Transport. Aviation, Port, Revenue ,Tourism , Land (Civil, survey) and related Programmes, and
  4. Agriculture, Livestock, Engineering, ICT and other related Sciences
Tukianza na Mitihani kwa level hii ; Utakuwa Mwanzo mwema.

Naamini Mtu kufail form four hii iwe njia mbadala;

Sheria itungwe mtu asipofaulu form four; Apewe kazi za utendaji na sio managerial level kwenye taasisi za serikali.
 
Tuiwekeje, nataka kuelewa jinsi ya kufomuleti (makindaaaa)
 
Tuiwekeje, nataka kuelewa jinsi ya kufomuleti (makindaaaa)
UDsm; KITENGO CHA ENGEENIEERING -- KUTUNGA MITIHANI YA BOdI YA ENGINEERING Level 4-6
MUHIMBILI .....................Kutunga mitihani ya bodi ya Udaktari level 4- 6
Bodi ya uhasibu hipo
bodi ya procurement ....hipo
Diploma za ualimu na certificate .hipo necta
Bodi ya benki ..............hipo.
SUA ...................KUTUNGA MITIHANI YA BODI YA KILIMO
CHUO CHA ARDHI..............Kutunga mitihani ya Bodi ya Ujenzi na Ardhi.

Hizi bodi zikianzishwa zitasahidia ata kujua content gani inafaa kwenye Curculum; Tunajifunza vitu vingine visivyo na manufaa kwa Taifa
 
umetumwa na nani? mimi naona NACTE wameharibu mfumo wa elimu Nchini na huko tuendako nafikiri tutakuwa na walimu vihiyo wengi sana. mimi ningekuwa Waziri wa elimu ningefuta NACTE.
By the way unapo sema hipo unamaanisha ipo? maana vijana wa siku hizi kuwaelewa kazi sana.kuna mwingine juzi amemwandikia rafiki yangu kwamba " hutapona" haraka kumbe alikuwa anamaanisha utapona haraka.Hapa mshauri anahitaji kushauriwa!!
 
kwa hili la Vyuo vitano (5) kufungiwa na Vingine kuisha leseni ya usajili 112 na 52 vinafundisha bila usajili:

Pesa za wanafunzi zitarudishwaje
 
Ha ha ha
Ha ha ha ; Ifunda Technical college / School Tofauti ni nnn
Hizo ni sekondari sio vyuo mi nimesoma iyunga tech.vyuo ni kama Arusha tech,Dit,mtwara tech.usiwe mbishi

kwa hili la Vyuo vitano (5) kufungiwa na Vingine kuisha leseni ya usajili 112 na 52 vinafundisha bila usajili:

Pesa za wanafunzi zitarudishwaje
 
wakianzisha hizo bodi itakuwa pw sana vijana watachapa kitabu sio gpa za kubebwa bebwa na wakufunzi wasiotimiza wajibu wao huku wakijua mwisho wa siku wao ndo wanatoa marks ndo maana tunakuwa na watendaji vilaza wasioweza kusimamia professional zao vzr
 
kwa hili la Vyuo vitano (5) kufungiwa na Vingine kuisha leseni ya usajili 112 na 52 vinafundisha bila usajili:

Pesa za wanafunzi zitarudishwaje
usibishe kama hujui omba uelezwe sababu mimi nimesoma moshi tech kidato cha tano na sita
 
Wanafunzi wenye Ufaulu Mdogo wanatakiwa wapelekwe Vyuo vya Ufundi. Ndo Msingi wa serikali kuanzisha vyuo vya ufundi kama IFUNDA, MOSHI, ARUSHA, BWIRU, TANGA , DIT Tech
Naona kama vile huna ufahamu na pengine akili. Yaani hao wanaokuja baadae kuwa wahandisi ndio unasema wawe na ufaulu mdogo? Halafu unasema eti ndio msingi wa serikali kuanzisha vyuo hivyo, kweli? Hivi unaijua Iyunga wewe?
Ndio maana nimesema huna akili, maana hiyo list umechanganya shule za sekondari za ufundi na taasisi za ufundi, kudhihirisha hujui unachoandika
 
Kumbe DIT wanaenda watu wenye ufaulu mdogo ety mtoa mada
SOMA ; 49 P0LICY ; zipo katika somo la philosophy in Educattion ni Unit mojawapo
kinaeleza kwanini co- education, Girl school, Boy School, Shule za vipaji , Tech school N.k
 
SOMA ; 49 P0LICY ; zipo katika somo la philosophy in Educattion ni Unit mojawapo
kinaeleza kwanini co- education, Girl school, Boy School, Shule za vipaji , Tech school N.k
iyo polisi nta ipata wapi
 
tushakuchoka mh waziri unafanya fanya maamuzi mengine yana madhara bhn... acha kuleta siasa kwenye future za watu urais hautafutwi ivyo
 
Back
Top Bottom