you really think I want him back coz of his money??
Yuko mwanza huyu.Kama sijakuelewa Hivi..
I want my own success too not only a man's!!
namlinganisha na mimi and not my man.
nikinenepamo na mimi namAdd 😀
Kwanini kiafrika, mbona Europe hawajaambiwa watahiri kwa hizo shida?
nitaelewa kuwa labda joto na Umaskini tunashindwa kupata maji masafi ya kuogea kwahiyo wanapata Sana infections Kama fungus.
na labda watu kufanya ngono zembe. lakini kweli mtu ukate kiungo cha Mwili ili ukakitembeze ovyo bila kupata virus?? nani kasema hutopata virus!
tuache kukata bwana
"Chululuu"!!!!!Mmh mkwe, jamaa alikua anakudolishia tu chululuu hakupi? Mlikua mnakua wapi vile anakuonesha 😀
Swali la msingi.Mmh mkwe, jamaa alikua anakudolishia tu chululuu hakupi? Mlikua mnakua wapi vile anakuonesha 😀
brother wanaume wasiokatwa huweza kusumbuliwa na fungus kama wanawake tu, wasipokuwa wasafi.Fungus siyo tatizo kwa govi.
Huwezi fananisha Europe na Africa kwenye mambo ya magonjwa.
Ningekuelimisha lkn napata uvivu kuandika sana
hii haivutii kabisaaaKwa sasa mwili wake umejengeka namna hii?
View attachment 381547
Yeah, he got it all better than you, but I am certain your time is soon coming! Most gals have this wrong perception, that success is going to Europe, car possession etc. Success is more than that. It's about that heart's content and peace of mind, you know! Don't lose heart, God is in control!people will always talk about your history bwana...
and yes I haven't denied he got it all better than me
Hahaa nimecheka sana na hiyo picha. Jamaa kakung'uta mpaka kapata vumbi!!!
oh thank u for your words of encouragementYeah, he got it all better than you, but I am certain your time is soon coming! Most gals have this wrong perception, that success is going to Europe, car possession etc. Success is more than that. It's about that heart's content and peace of mind, you know! Don't lose heart, God is in control!