Recent content by Jstar1

  1. Jstar1

    KERO Ukiwa na mkopo Songesha hupati mkopo benki

    vinahusiana sana ata mm ishanikuta
  2. Jstar1

    Kwa mlo huu niko sawa?

    Wakuu katika hali yangu ya maisha, nina takriban miezi kadhaa huwa nakula mara 2 kwa siku, yaani chakula cha mchana nakula saa nne mfano (samaki na chapati 3, na juice) halafu nakuja kula jioni saa 12 au usiku muda usiozidi saa 4). Kwa kufanya hivyo, toka mwaka 2019 nimekuwa na kilo 69, muda...
  3. Jstar1

    Hii ni kawaida au nina tatizo kiafya? Napenda sana kufanya mapenzi

    Mbaya zaidi nikienda kwa mpenzi wangu yeye anadai amechoka... ila nikumuona mwili unasisimka yaani ata usingizi nakosa mda wote mzee anakaa amesimama, nkisahau kidogo analala nkistuka anasimama... Nikisema nimkwepe mpenzi wangu ananuna hapendi, na nispomuona sku moja, nikimuona basi ndo naanza...
  4. Jstar1

    Hii ni kawaida au nina tatizo kiafya? Napenda sana kufanya mapenzi

    Mbaya zaidi ata dada poa nanunua na haiwezu kupita sku 3 sjasex nna zaidi ya miaka minne nafanya ivo
  5. Jstar1

    Hii ni kawaida au nina tatizo kiafya? Napenda sana kufanya mapenzi

    Majukumu ninayo nafanya kazi narudi kwangu saa 12 jion
  6. Jstar1

    Anataka nimpe ujauzito japo bado sijamuoa yupo kwao

    Kuna dada mmoja anasoma chuo, ni mpenzi wangu japo anajua nina mapenzi, kabila lake ni mmakonde, mweupe na ni islamic.. Shida ni kua ana hamu ya mtoto na anakaa kwao na mama yake, anataka nimzalishe mimi ambae ni mkristu yeye kasema atabadili dini, anatamani tu azae na mtu wa kuzaa nae ni...
  7. Jstar1

    Hii ni kawaida au nina tatizo kiafya? Napenda sana kufanya mapenzi

    Wakuu naombeni msaada wenu, ni kijana ambae nimo bellow 27..., nmekua na wasichana tofauti kwenye mahusiano, ukiachana na hilo nina mmoja ambae niko nae very close. Shida ni kua nmefanya nae mapenzi wiki mbili mfululizo kila siku na mara ya mwisho ni jana alkua amegoma baada ya kumbembeleza...
  8. Jstar1

    Kwa GPA ya 4.7 Naweza kupata MD MUHAS au Chuo chochote cha hadhi ya udaktari

    aisee wewe msomi gani, inawezekana hujui fata ulichokuwa unakisomea, Ushauri nenda pale MUHAS kaulize qualification
  9. Jstar1

    Nina miaka 30 sina mtoto

    miaka 30 bila ramani wala mtoto, kataeni ila umri umeenda
  10. Jstar1

    Nina miaka 30 sina mtoto

    aisee[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]hali si shwari
  11. Jstar1

    Nina miaka 30 sina mtoto

    naumia sana sijui nmekosea wapi mimi miaka 30 sina ramani
  12. Jstar1

    Nina miaka 30 sina mtoto

    dah[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]
Back
Top Bottom