Hii ni kawaida au nina tatizo kiafya? Napenda sana kufanya mapenzi

Jstar1

JF-Expert Member
Aug 1, 2019
1,389
1,337
Wakuu naombeni msaada wenu, ni kijana ambae nimo bellow 27..., nmekua na wasichana tofauti kwenye mahusiano, ukiachana na hilo nina mmoja ambae niko nae very close.

Shida ni kua nmefanya nae mapenzi wiki mbili mfululizo kila siku na mara ya mwisho ni jana alkua amegoma baada ya kumbembeleza sana akanipa, ni kama nina pepo la ngono.

Juzi j2, nilihisi ataninyma maana alkua anadai kachoka, nikaenda kununua dada poa, ila nilivoenda kwake akanipa pia, hana hisia anadai amechoka nimuache ata wiki ila nikimuona msichana yoyote nakua sijiwezi hasa hasa yeye.

Na nikilala nae basi nafunga gori moja tu, ambalo mara nying hua ni dk.. 20-40 inalingana na yeye maana mda mwingine hua anachoka hasa hasa akifika kileleni anakua hataki tena au anachoka tu anasema nifke mwsho basi navuta hisia, la 2 naweza ila ilo hua safari yake ni ndefu sana so hua hakubali.

Shida yangu ni kua napenda sana kufanya mapenzi na sometimes nanunua dada poa, naweza kulala ata na wanawake watatu mda mwingine kwa sku moja nahisi nina shida mahali nisaidie.

NB niko busy sana maana hua natoka asbui na kurudi jioni na siangalii porn
 
20220720_193553.jpg
 
Pole hio hutokana na jinsi unavojiweka
1. Unaangalia porn sana
2. unakaa lonely sana
3.Hufanyi kazi yan hata ya kufagia kiwanja chenu

Kua busy na acha kuset akili yako iwaze hayo mambo. Ikibidi hama hapo unapokaa kwa wiki nenda mazingira ambayp hayakupi uhuru wa kuwaza au kufanya mapenzi.
 
Uko sahihi mkuu, atafute kazi huyu dogo
 
Pole hio hutokana na jinsi unavojiweka
1. Unaangalia porn sana
2. unakaa lonely sana
3.Hufanyi kazi yan hata ya kufagia kiwanja chenu

Kua busy na acha kuset akili yako iwaze hayo mambo. Ikibidi hama hapo unapokaa kwa wiki nenda mazingira ambayp hayakupi uhuru wa kuwaza au kufanya mapenzi.

Majukumu ninayo nafanya kazi narudi kwangu saa 12 jion
 
majukumu ninayo nafanya kazi narudi kwangu saa 12 jion
Vizuri, now em try kuset akili yako iwaze mambo mengone pia kaa mbali na vishawishi mfano, mwanamke au wanawake wanapkushawishi au chochote kinachokueka katika mazingira ya kushawishika
 
Vizuri, now em try kuset akili yako iwaze mambo mengone pia kaa mbali na vishawishi mfano, mwanamke au wanawake wanapkushawishi au chochote kinachokueka katika mazingira ya kushawishika

Mbaya zaidi ata dada poa nanunua na haiwezu kupita sku 3 sjasex nna zaidi ya miaka minne nafanya ivo
 
Njia sahihi ya kuepeuka ulevi (addiction) ni kupunguza idadi ya siku unazofanya ngono. Kama ulikua ni siku Saba kwa wiki. Anza kupunguza ziwe ata tatu kwa wiki. Kadiri unavyoendelea punguza zifike mpaka moja ubongo na mwili utaanza kuzoea na utaona mabadiliko. Ila kusema uwe busy cku nzima ndo kupunguza izo hisia Amna kitu Kama hicho. Itafika sehemu utakua unafanya Hadi huko kazini na kufukuzwa kabisa iyo kazi.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom