Nina miaka 30 sina mtoto

Nina miaka 30 sina mtoto

Mimi Amadala naamini ungeoa kwanza mtoto angepatikana.
 
Unahofia nn tatizk umaskini ndo inasumbua eti watoto waje nisaidia au wasukuma. Mwanaume unakuwa na wasiwasi hata 40 unazaa ukiwa na pesa unaza kutoboa miaka 70 amini

Anyway Rihanna juzi kapata mtoto wake na anatimiza miaka 34 una wasiwasi gani mi mwenyewe sina mtoto kila kitu ninacho maana kila demu namuona hana akili mpaka nipate mwenye akili na adabu ndio ntazaa nae.
Bro ukute wewe ndio huna Akili, ukiona Mwanamke wa kwanza mpaka wa tatu we unaona Hana Akili Basi tatizo Ni wewe.

Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
 
Miaka inazidi kuyoyoma, nmetimiza miaka 30 mwaka huu, sina mtoto hata wa kusingiziwa...

Wakati nazidi kukazana kutafuta tonge mdomoni ila pia nmepoteza muda mwingi na sasa sina mtoto, sina hata mwanamke wa kuzaa nae.

Kiasi kwamba hata nikipata mtoto tiyari nmechelewa, ukipata mtoto above 26 wewe umechelewa.


Watoto/Mtoto ni bahati lakini jamii zetu zinaweka kama vile kila mtu ameandikiwa mtoto. Ukisema umechelewa ! umechelewa wapi? Mtoto akizaliwa hata ukiwa 50 sawa tu. Jipange kiuchumi achana na mambo ya kukimbilia watoto hayo yatakuja yenyewe
 
Kwa hiyo ukiwaza ndio utarudisha muda nyuma ili umpate ukiwa na 25 au ukipata akue faster ndani ya miaka miwili awe kashamaliza class 4
.
Bro kama ishakuwa story ya jana iache ibaki jana, maana hata ukiiwaza , huna ubavu wa kuibadilisha

Cha msingi angalia ulipo na nini unachoweza kufanya, hizo presha za watu zitakukosesha amani buree
 
Weka picha, kuna wadada wngi wanatafuta wakuzaa nao WATALEA WENYWE
 
Back
Top Bottom