Buzi Maarufu
JF-Expert Member
- Oct 30, 2019
- 422
- 330
Nini faida ya kuwa na mtoto?
MkuuDah!..kwa hali hiyo pesa zako ndio zitaoa sio wewe, maana ukipigika tu huna mke.
Kuna ndugu yetu ye kaanza na miaka 35 ila anavyofyatua nje na ndani .Mpaka baba yake kamuweka kikao asimamishe ufyatuaji.Hujachelewa wala haujawahi.Simu ni moja tu tukutane benki.




Mkuu mbona kama tunafanana.....japo mimi kuna mtoto nasingiziwa yuko mara hukoUnahofia nn tatizk umaskini ndo inasumbua eti watoto waje nisaidia au wasukuma. Mwanaume unakuwa na wasiwasi hata 40 unazaa ukiwa na pesa unaza kutoboa miaka 70 amini
Anyway Rihanna juzi kapata mtoto wake na anatimiza miaka 34 una wasiwasi gani mi mwenyewe sina mtoto kila kitu ninacho maana kila demu namuona hana akili mpaka nipate mwenye akili na adabu ndio ntazaa nae.
Sasa sie wenye 42 tutasemaje?Miaka inazidi kuyoyoma, nmetimiza miaka 30 mwaka huu, sina mtoto hata wa kusingiziwa...
Wakati nazidi kukazana kutafuta tonge mdomoni ila pia nmepoteza muda mwingi na sasa sina mtoto, sina hata mwanamke wa kuzaa nae.
Kiasi kwamba hata nikipata mtoto tiyari nmechelewa, ukipata mtoto above 26 wewe umechelewa.
Kwa hiyo wewe ni senior bachelorNina miaka 36 sina mke mchumba wala mtoto
Duh mmetuchoka kwa kweli mpaka mnatuita sperm donorsTatizo hao partners ndio hawaonekani….mtaani wamejaa sperm donors 😂😂😂
imenilazima nicheke kwa sautiWakumpandia pandia akikaa sebleni 🤪
Teh teh 😂 😂 usiogope majukumu kamandaMkuu mbona kama tunafanana.....japo mimi kuna mtoto nasingiziwa yuko mara huko
Wape familia mjukuuNiko 34 na sina mtoto wala mke, sijuti wala sinung'uniki..
Familia zimashaanza kuchongoa mdomo wanataka mjukuu..
Mtoto ni baraka, sio wote tutabarikiwa.
So hata sijali.
Tafuta mtoto boss, usipuuzeNiko 34 na sina mtoto wala mke, sijuti wala sinung'uniki..
Familia zimashaanza kuchongoa mdomo wanataka mjukuu..
Mtoto ni baraka, sio wote tutabarikiwa.
So hata sijali.
Unahofia nn tatizk umaskini ndo inasumbua eti watoto waje nisaidia au wasukuma. Mwanaume unakuwa na wasiwasi hata 40 unazaa ukiwa na pesa unaza kutoboa miaka 70 amini
Anyway Rihanna juzi kapata mtoto wake na anatimiza miaka 34 una wasiwasi gani mi mwenyewe sina mtoto kila kitu ninacho maana kila demu namuona hana akili mpaka nipate mwenye akili na adabu ndio ntazaa nae.



Akili kweli muhimu mkuu endelea kutafuta