Nina miaka 30 sina mtoto

Nina miaka 30 sina mtoto

naumia sana sijui nmekosea wapi mimi miaka 30 sina ramani
 
Msijipe stress,utashangaa hiyo chelewa yenu mnakwepeshwa kupata kina gay
 
mwanaume hata ukifikisha miaka 90 unazalishaa tuu shida kuwatunza watotoo...!!
 
Unahofia nn tatizk umaskini ndo inasumbua eti watoto waje nisaidia au wasukuma. Mwanaume unakuwa na wasiwasi hata 40 unazaa ukiwa na pesa unaza kutoboa miaka 70 amini

Anyway Rihanna juzi kapata mtoto wake na anatimiza miaka 34 una wasiwasi gani mi mwenyewe sina mtoto kila kitu ninacho maana kila demu namuona hana akili mpaka nipate mwenye akili na adabu ndio ntazaa nae.
 
Bro ukute wewe ndio huna Akili, ukiona Mwanamke wa kwanza mpaka wa tatu we unaona Hana Akili Basi tatizo Ni wewe.

Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
Mi smart mkubwa na najiheshimu siwezi kutembea na mchafu mawigi yananuka hajui kujipanga adabu hana hao ndo wamekosa akili

Jingine demu kali ila chatoka kila bwana linachat nae hata maex wake nikaona game ishanishinda sipendi mwanagu alelewe na single parent system kwani mi sikuzaliwa nje ya ndoa

Kuoa ntaoa
 
Nakumbuka mimi mwangu wa kwanza nilitia mimba bado niko 4m 5 hivi mwishoni kabisa au 6 mwanzoni mwanzoni, sababu baada ya pepa ya NECTA nikakaa wiki 2 tu mtoto akazaliwa.

Mtoto ni majaaliwa.
 
Umasikini mbaya sana, yote hiyo ni kwakua huna pesa.
Na bahati mbaya zaidi umejikatia tamaa, ushaaminishwa above 26 si poa kua na mtoto.

Nachoamini ni ukiwa vizuri hata ukiwa na 40 unakua na mtoto tu kikubwa uwezo wa kumlea mpaka afike 18-20 unao.

Bado muda unao ndgu yangu usikatishwe tamaa, ukiwa na uwezo mzuri hata afya yako inaimarika hata uwe na 35 bado itaonekana kama una 25 tu.

Ila kwa kuhisi tu wewe una hiyo 30 na umezeeka tayari kwakua hujipendi na umejikatia tamaa.
 
Au labda huna uwezo wa kutingisha mimba??
Isijekua unapata stress bure tu kumbe uwezo wenyewe huna!!

Kama ulishawahi kufanya attempts kadhaa na majibu ikawa ni 0 basi walau uende hospital ukafanye check up.
 
Miaka inazidi kuyoyoma, nmetimiza miaka 30 mwaka huu, sina mtoto hata wa kusingiziwa...

Wakati nazidi kukazana kutafuta tonge mdomoni ila pia nmepoteza muda mwingi na sasa sina mtoto, sina hata mwanamke wa kuzaa nae.

Kiasi kwamba hata nikipata mtoto tiyari nmechelewa, ukipata mtoto above 26 wewe umechelewa.
Duh

30 nayo ni mkubwa?

Acha masihara bana

Usizae mpaka above 35...

Tafuta hela,jenga,seti biashara zako sawasawa....kua tajiri..nunua magari...then tafuta mwanamke standard wa kwenu mwenye adabu zake na ukoo wake wako na rekodi nzuri then oa,zaa watoto wako lea vizuri

Trust me,wanawake hawaangalii kwenye cheti chako cha kuzaliwa kuna namba ngapi....wanataka nyumba ya familia,magari ya maana aendeshe..biashara zake za kuzuga na kulea watoto,waende shule za kizungu..chini ya hapo utateseka sana
 
Duh

30 nayo ni mkubwa?

Acha masihara bana

Usizae mpaka above 35...

Tafuta hela,jenga,seti biashara zako sawasawa....kua tajiri..nunua magari...then tafuta mwanamke standard wa kwenu mwenye adabu zake na ukoo wake wako na rekodi nzuri then oa,zaa watoto wako lea vizuri

Trust me,wanawake hawaangalii kwenye cheti chako cha kuzaliwa kuna namba ngapi....wanataka nyumba ya familia,magari ya maana aendeshe..biashara zake za kuzuga na kulea watoto,waende shule za kizungu..chini ya hapo utateseka sana
Dah!..kwa hali hiyo pesa zako ndio zitaoa sio wewe, maana ukipigika tu huna mke.
 
Back
Top Bottom