Kwa GPA ya 4.7 Naweza kupata MD MUHAS au Chuo chochote cha hadhi ya udaktari

Hellow naomba kuelewa hv kama nimepata GPA Nzuri ya 4.7 clinical Medicine naweza kupata MD Muhimbili au vyuo vingine vyenye hadhi nzuri?

Au hakuna muongiliano kati ya CLINICAL MEDICINE na MD Degree?
Mkuu umeharibu hapo kwenye "Au hakuna muongiliano kati ya CLINICAL MEDICINE na MD Degree?", ina maana mpaka unakwenda kusoma "Clinical Medicine" hukujua way forward baada ya kumaliza inakuaje ukimaliza miaka 3.

Anyway, hiyo GPA mbona kubwa sana kikubwa O-level uwe una D ya Physics, Chemestry, Biology na Maths.

Hilo bundle lako unatakiwa upite hapo chini kwenye hiyo link ukikwama ndo urudi
 
Nafikiri imekaa sawa maana o level nilikua na division 1
 
Nafikiri imekaa sawa maana o level nilikua na division 1
Ukaenda A-level lakini hukupata point za kuingia MD ndio ukaamua kwenda Clinical Officer au uliamua kwenda directicly "clinical Officer" kutokea O-level? Assuming ulienda A-level kwanza then CO, nadhani unaingia faster. Sasa mchawi ni ada au bodi ya mikopo kama una qualification faster unapata
 
Alie soma anajua vigezo, ( Equivalent) za kusoma MD kupitia diploma holder. 3.5 GPA anapata ila sasa inategemeana wameomba wangapi na nafasi ni ngapi zilizopo

Usifanye tuone CO hamnazo usome miaka 3 hujui undergraduates utasoma nn dah.
 
Back
Top Bottom