Sengiyumva 01
Member
- Jul 5, 2022
- 9
- 4
Watoto wa siku izi vivuruge watakuua na presha tu zingatia kumwagilia moyo tu
Acha nichelewe tu, maana kama nitashindwa kuafford kuitunza familia yangu basi ni bora ingoje hadi pale nitakapofanikiwa kwanza.Miaka inazidi kuyoyoma, nmetimiza miaka 30 mwaka huu, sina mtoto hata wa kusingiziwa...
Wakati nazidi kukazana kutafuta tonge mdomoni ila pia nmepoteza muda mwingi na sasa sina mtoto, sina hata mwanamke wa kuzaa nae.
Kiasi kwamba hata nikipata mtoto tiyari nmechelewa, ukipata mtoto above 26 wewe umechelewa.
Kwa miaka hii, mwanaume kuchelewa ni bora zaidi kuliko kuwahi.Miaka inazidi kuyoyoma, nmetimiza miaka 30 mwaka huu, sina mtoto hata wa kusingiziwa...
Wakati nazidi kukazana kutafuta tonge mdomoni ila pia nmepoteza muda mwingi na sasa sina mtoto, sina hata mwanamke wa kuzaa nae.
Kiasi kwamba hata nikipata mtoto tiyari nmechelewa, ukipata mtoto above 26 wewe umechelewa.
Ukishindwa kumlea hao hao wanaanza kukwambia ulizaa wa niniWape familia mjukuu
Umasikini mbaya sana, yote hiyo ni kwakua huna pesa.
Na bahati mbaya zaidi umejikatia tamaa, ushaaminishwa above 26 si poa kua na mtoto.
Nachoamini ni ukiwa vizuri hata ukiwa na 40 unakua na mtoto tu kikubwa uwezo wa kumlea mpaka afike 18-20 unao.
Bado muda unao ndgu yangu usikatishwe tamaa, ukiwa na uwezo mzuri hata afya yako inaimarika hata uwe na 35 bado itaonekana kama una 25 tu.
Ila kwa kuhisi tu wewe una hiyo 30 na umezeeka tayari kwakua hujipendi na umejikatia tamaa.