Recent content by JS Farms

  1. J

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

    Baada ya kuibiwa ile gari ilipatikana?
  2. J

    JamiiForums Tanzania Mrejesho uzi wa kujilipua

    Hongera, piga kazi ukipata fedha nyingi njoo bongo uwekeze.. Wakumbuke pia ndugu zako. Sanaa gani zinalipa huko? Wewe Ni msanii wa Nini?
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mkesha wa VUKA NA CHAKO: Kutoka Uwanja wa Benjamin Mkapa na prophet Boniphace Mwamposa - 16/12/2022

    Bwana Yesu alikuwa anapokea pesa/mali kutoka kwa wahitaji/wafuasi wake?
  4. J

    JamiiForums Tanzania Nikifa mwili wangu utupwe mbugani simba na fisi wapate kitoweo

    Simba hali mzoga, mzoga wako utaliwa na fisi na ndege. Kumbuka kuacha fedha za kusafirisha mwili wako huko mbugani, siyo unakufa halafu unawapa watu mzigo wa kutafuta pesa za kuwapelekea fisi kitoweo.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Safari ya Mwisho ya Abdallah Kassim Hanga Kabla ya Safari ya Mwisho

    Waliomuua nao wamekufa,hii Dunia si yetu, tuishi kwa kupendana na kuvumiliana.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Kulwa Masanja Isenge anyakua milioni 5 katika Shindano la 'Stories of change' 2022

    Hongereni jamiiforums na hongereni washindi wote.
  7. J

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mambo muhimu ya kuyafahamu kabla ya kuomba wazo la biashara mtandaoni

    Nifanye biashara gani? Nipeni wazo la biashara, nina mtaji wa milioni mbili nifanye biashara gani? Naomba wazo la biashara, biashara gani inayolipa? Haya ni maswali ambayo watu wengi hasa vijana wamekuwa wakiuliza au kuomba ushauri kupitia mitandao ya kijamii. Kuomba wazo la biashara mtandaoni...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Kufuatia msiba wa Malkia wa Uingereza, kwanini bendera Tanzania haipepei nusu mlingoti?

    Bendera ya Tanzania kupepea nusu mlingoti ni suala la kisheria. Je, sheria yetu inaruhusu hilo suala?
  9. J

    JamiiForums Tanzania SoC01 Jinsi kesi ya Mbowe na wenzake inavyoripotiwa ni kielelezo cha mapinduzi makubwa ya upashanaji wa habari

    Siku moja ya mwaka 2005 sikumbuki tarehe wala mwezi mwalimu wetu mmoja aliingia darasani na gazeti lililokuwa na hotuba ya Bilionea Rupert Murdoch Mmarekani mwenye asili ya Australia na mmiliki wa vyombo vingi vya habari.Hotuba hiyo ilikuwa na mada isemayo 'nafasi ya magazeti katika...
  10. J

    JamiiForums Tanzania SoC01 Tunao akina 'Chama na Miquissone' wengi tatizo hatuwekezi kwenye michezo

    Habari ya wachezaji wa Simba Clatous Chota Chama raia wa Zambia ambaye amenunuliwa na klabu RS Berkane ya Morocco na Jose Luis Miquissone raia wa Msumbiji ambaye amenunuliwa na Klabu bingwa ya Afrika AL Ahly ambao wamenunuliwa kwa mabilioni ya fedha inatukumbusha umuhimu wa kuwaanda wachezaji...
  11. J

    JamiiForums Tanzania SoC01 Njia zinazoweza kutumiwa na Serikali kupata mapato badala ya kuwakamua Watanzania kwenye tozo

    Mpaka leo Tanzania inaagiza chuma nje ya nchi wakati Liganga kuna chuma cha kutosha .Hiki chuma kingeleta fedha za kutosha.
  12. J

    JamiiForums Tanzania Simulizi yangu ya kwenda kwa waganga wa kienyeji sehemu mbalimbali nchini na nje ya nchi

    Tukashuka chini tukakubaliana twende na moto wa kuni tukapanda nao,tukaichoma dawa ikawaka na kuteketea wakati nainama kuchukua majivu,akatokea nyoka mweusi mkubwa akawa anatoka upande mmoja akawa kama anatufuata ,niliinuka ghafla nikawa nataka kurudi kwa nyuma nilistuka sana lakini yule...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Simulizi yangu ya kwenda kwa waganga wa kienyeji sehemu mbalimbali nchini na nje ya nchi

    Inaendelea Baadhi ya watu hasa washika dini najua nawakera lakini simulizi kama hizi mnaweza kuziepuka kwa kutokuzisoma. Ila msibague dhambi hata zingine msiwe mnazifanya maana kuna kiongozi mmoja mkubwa sana wa dini hapa Tanzania anatembea na mke wa mtu Nilionana na mganga nikamueleza...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Simulizi yangu ya kwenda kwa waganga wa kienyeji sehemu mbalimbali nchini na nje ya nchi

    Thanks,nilichelewa kuiona,hata hivyo nilitoka mapema goli la pili la wagosi sikuliona.
Back
Top Bottom