Recent content by Jozzy

  1. Jozzy

    Nahitaji msaada jf doctors

    Baada ya mimba kutoka, kama vidonge vya uzazi wa mpango havijatumika kurudisha mzunguko, ni kawaida damu kutoka bila mpangilio
  2. Jozzy

    Maumivu upande wa kulia wa ovary

    Hili sidhani kama linaweza kumalizika hapa mkuu, mgonjwa inabidi aonwe, achunguzwe ,kisha apatiwe tiba sahihi
  3. Jozzy

    Nahitaji msaada jf doctors

    Kwa mole pregnancy nafikiri Bhcg ingekuwa far too high, na bila evacuation after 2 weeks ingebaki kuwa juu. Most likely ilikuwa abortion. Spotting itaisha once hormone levels zikirudi sawa. Ni vizuri usiconceive angalau kwa miezi 6, ili kufanikisha hilo nashauri ungechagua njia ya uzazi wa mpango
  4. Jozzy

    Maumivu upande wa kulia wa ovary

    Maumivu upande wa kulia, lkn cyst iko upande wa kushoto. Pia majibu ya ultrasound uliyoupload yanaonyesha kuna uvimbe kwenye mfuko wa kizazi (myoma). Nafikiri hamkumpata msaada wa kutosha juu ya tatizo, muhimu kurudi hospitali
  5. Jozzy

    kufana kundi la damu na mke mtarajiwa

    Hakuna tatizo mkuu.
  6. Jozzy

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Kila la kheri kwa timu yetu leo, tunaanzia Holm saa 3.45, tunamalizia na sherehe ya kujipongeza humu Mungu akipenda. GGMU
  7. Jozzy

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  8. Jozzy

    Ewe mwanadada wa humu JF soma hii na uelewe

    Hongera kwa uandishi mzuri, maneno ya busara[emoji122]
  9. Jozzy

    Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

    Basi Mkuu pengine neno acute au uncomplicated lingekuwa sahihi zaidi kwa mtazamo wangu zaidi ya normal.
  10. Jozzy

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  11. Jozzy

    Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

    Vidonda vya tumbo ni pathology, haviwezi kuwa normal. Sijakuelewa unaposema normal =70,000 unamaanisha nn?
  12. Jozzy

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Alijituma kwa kweli [emoji106]
  13. Jozzy

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    What a boost to our squad, sasa sio wacheze mechi moja halafu wanaugua nusu msimu[emoji34]
  14. Jozzy

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Kinachowakuta wapinzani si mchezo, tungeshinda leo, full shangwe. Lkn mwenzako akinyolewa tia maji, tutakutana nao[emoji23] [emoji23]
  15. Jozzy

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Ni wa kupunguza kwenye squad, Wazza hawezi tena mikiki kama enzi zile. He should go while fans like him
Back
Top Bottom